Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kwanza havipo vya kutosha unakuta ni zaidi ya bei ya nyumbani mfano sound system unakuta home mpaka 600k unapata ila kule naona 800k hadi m1 na laptop nyingi ni za kizamani alafu around 400k to 500k huku specs hazieleweki mala 160gb ram 4 hiyo processor hata haieleweki ni generation gani na vingine huwa sivipati kabisa na hata iphone 6s + naona bei ni sawa za Bongo tu au utakuta pia huko ni ndefu pengine sina uzoefu ama laah anybody prove me wrong!

kwa vitu vya kimarekani amazon ndo kwenyewe. laptop, hizo iphone, utapata huko. pia kuna site za pale pale ndani kama vile newegg, bestbuy, microcentre etc

hizo music system na tv ni nzito sana unaplan kusafirisha vipi? ujue ni mamia ya dola yatatumika kwenye usafirishaji tu.

pia ebay unaweza pata,
 
Anhaa hapo sasa nimekupata kiongozi
Ila which one liko most useful kati ya hayo amazon,ebay n hayo uliyo nambia
 
Hello guys kwa bajeti ya 250-400 napata device ipi ya xiaomi?priority ni chaji kwanza
 
Hello guys kwa bajeti ya 250-400 napata device ipi ya xiaomi?priority ni chaji kwanza
Xiaomi Redmi Note 4X Note4 X Snapdragon 625 Octa Core Mobile Phone 3GB RAM 32GB ROM 13.0MP 5.5" FHD Fingerprint ID. Utaitia mkononi kwa 350k.
a5515ff0fcc57c56c8c3706947ee5bf7.jpg
528e5e8a27c54f6f4e0f670b231418e2.jpg
bffb8443533c00537de71957706ba754.jpg
 
NILIKUA SIJAAMUA PIA KUTUMIA SECOND SPACE BUT NOW HAPA NAINJOY ATA MAGENDO Yngu.ntapiga yote but hakun WIFU KUSTUKIA HAPA YEYE NIMEMWACHIA PASWED ZA FIRST SPACE NA FINGERPRINT AMEWEKA ILA SECOND SPACE NIKO NA PASWED INGINE KABISA
Wacha mkuu noma eeeh
 
Yaah bro, nikuwa mvumilivu tu.
Nipo katika hatua za kuchek ile mishe coz nilipo fikia bank haipo mbali.
Okay boss, just do it. Kuparchase online unaweza ukawa addicted. Unaweza kusahau kabisa kununua simu maduka ya hapa Bongo.
 
unlocked ina maana inatumika nchi yoyote duniani, haijkuwa locked kwenye line moja.

ila kuna kitu ukifahamu.
-2g haina neno karibia dunia nzima tunatumia frequency sawa
-3g karibia dunia nzima tunatumia 2100mhz kasoro mitandao michache ya cdma na T-mobile
-4g kuna mgawanyiko mkubwa sana kuna bands tofauti kama 40, tanzania zetu ni 800, 1800 na 2300. hivyo angalau band mbili au moja simu yako iwe nayo, ili ufaidi speed ya 4g. hasa hasa 800 na 1800.

kuhakiki band ni muhimu, unaweza nunuA simu unlocked ila isipandishe mnara
[emoji120] chief uko deep sana kwenye masuala haya kwa kujitoa kwako unatusaidia wengi
 
Back
Top Bottom