yaramazlik
Senior Member
- Apr 7, 2012
- 174
- 251
Hawa jamaa wabaguzi. Mimi mbona nilichukua posta pale wakanicharge kodi 21,000 au labda kwa kuwa sikuwa na sanduku la posta?Hatimae Jana nikakamata mashine yangu bila longo longo,
Shukrani zangu ziende kwa muanzisha uzi pamoja na maoni ya wadau wote.View attachment 1315241
Sent using Jamii Forums mobile app
ngapi hiyo ulichukuaHawa jamaa wabaguzi. Mimi mbona nilichukua posta pale wakanicharge kodi 21,000 au labda kwa kuwa sikuwa na sanduku la posta? View attachment 1331067
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani inawezekana vipi kusign in oppo ID. Simu nimenunua China hivo wananigomea kwa uku.
Mie ninayo redmi note 8 nilinunua Bejing kwa Yuan 1339,ina ram 6 na 128GB, lakini sina furaha nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda mkuu ungekuwa wazi tu kwann huna furaha nayo?Mie ninayo redmi note 8 nilinunua Bejing kwa Yuan 1339,ina ram 6 na 128GB, lakini sina furaha nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
WhyMie ninayo redmi note 8 nilinunua Bejing kwa Yuan 1339,ina ram 6 na 128GB, lakini sina furaha nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini shida!?Mie ninayo redmi note 8 nilinunua Bejing kwa Yuan 1339,ina ram 6 na 128GB, lakini sina furaha nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ltakuwa Chinnes versionMie ninayo redmi note 8 nilinunua Bejing kwa Yuan 1339,ina ram 6 na 128GB, lakini sina furaha nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetumia jumla gharama kiasi gani mpaka kukufikiaingawa seller aliniweka sana ila hatimaye mzigo upo mkononi
Sasa wanatecno msishtuke kuona mabadiriko yangu
Hii ndio picha ya mwisho kutumia tecno ona camera ilivyo mbovu
Watumiaji wa tecno poleni sana [emoji3]View attachment 1067610View attachment 1067611View attachment 1067612
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bado ipo
Duuuh pole sana fanya kuachana nayo ila ingekuwa India hazina shidaMkuu kwani inawezekana vipi kusign in oppo ID. Simu nimenunua China hivo wananigomea kwa uku.
Heee kituko hio ni bei ya note 8 mkuuNimeona Redmi 8 kwa Tsh. 400,000/= kwa hawa wahindi wa High life mnanishaurije kuipata hii simu ni nzuri au nikanunue zangu infinix s5
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezi fika maana note 8 nikama 350K ile ya global ROMNote 8 wanauza 520,000
sasa mpaka kuagiza hyo note 8 si inazidi hizo gharama kama TRA watatia miguu yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya Chinise New Year (Feb 3). Leta laki nne nikuachie Note 8t 4+64GB kwa laki nne.Note 8 wanauza 520,000
sasa mpaka kuagiza hyo note 8 si inazidi hizo gharama kama TRA watatia miguu yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu redmi 8 kwa 400000!!!!! Hata mm sishawishiki labda kama huna kazi na hiyo pesa maana kwa huyo pesa unapata Xiaomi kali sana.Nimeona Redmi 8 kwa Tsh. 400,000/= kwa hawa wahindi wa High life mnanishaurije kuipata hii simu ni nzuri au nikanunue zangu infinix s5
Sent using Jamii Forums mobile app