Najaribu kuja pm nashindwa,mkuu hebu nitumie pm kuna Jambo nahitaji kukunong'onezaBaada ya Chinise New Year (Feb 3). Leta laki nne nikuachie Note 8t 4+64GB kwa laki nne.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni unbox ? au imetumika muda gani kiongozi ?Baada ya Chinise New Year (Feb 3). Leta laki nne nikuachie Note 8t 4+64GB kwa laki nne.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya Chinise New Year (Feb 3). Leta laki nne nikuachie Note 8t 4+64GB kwa laki nne.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo unetoka kuchukua mzigo wakoNote 8 4/64gb CN version...iko safi hiiView attachment 1332574View attachment 1332575
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini?Mie ninayo redmi note 8 nilinunua Bejing kwa Yuan 1339,ina ram 6 na 128GB, lakini sina furaha nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna redmi 8 global ROM mpya haijatumika kwa 330000 pekeeNimeona Redmi 8 kwa Tsh. 400,000/= kwa hawa wahindi wa High life mnanishaurije kuipata hii simu ni nzuri au nikanunue zangu infinix s5
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pole sanaaa aiseee...Wajanja wameniibia Redmi note 8 Yangu ambayo hata haijamaliza wiki tatu toka niinunue..Nimetoa taarifa polisi na kuwapa IMEI za simu sijui wataweza kumpata mwizi??....
Nimejaribu na kwenyewe hola...Mkuu pole sanaaa aiseee...
Ulifungua Mi account ujaribu ku access kwa mi account?
Mmmnhuuu, account ilikuwa active kweli. Na GPS ILIKUWA ON MUDA WOTE? Maana kwa muda mfupi hivi ningumu kusema jamaa wameshaichomoa hiyo accountNimejaribu na kwenyewe hola... View attachment 1335341
Sina hakika kama ilikua active ila nilikua naweza kuingia nayo kwenye mi community bila shida...Polisi wanadai haijawashwa toka iibiweMmmnhuuu, account ilikuwa active kweli. Maana kwa muda mfupi hivi ningumu kusema jamaa wameshaichomoa hiyo account
Chukua redmi 8 ongeza kama ishirini elfu au 8aWakuu budget angu ni 250k naeza pata xiaomi gani nzuri
Xiaomi Redmi 8 ongeza iwe 285k hapo plus shipping fee na 4% ya makato ya voda mastercard...! Sema ilkua kwenye Ofa ya Ideas for 2020 sijui ka bado ipo..Wakuu budget angu ni 250k naeza pata xiaomi gani nzuri
Sina hakika kama ilikua active ila nilikua naweza kuingia nayo kwenye mi community bila shida...Polisi wanadai haijawashwa toka iibiwe
Asante mkuu kwa maneno yako yaliyonipa faraja maana nishaanza kukata tamaa kuhusu kuipata hii simu..ubarikiweBro worry out hiyo simu haijawa online yaani haijaanzwa kutumiwa...Utaiona tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi!Bro worry out hiyo simu haijawa online yaani haijaanzwa kutumiwa...Utaiona tu
Sent using Jamii Forums mobile app