Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Naomba nitajie hizo Tws boss.
 
Boss bado mnasongesha?
Maana nipo Kenya huku so sijaagiza kitambo.
je Corona haijaathiri michakato?
Athari hazikosekani mkuu hasa delaying kwenye ku ship mizigo ukijumlisha na mapumziko ya festival zao.
Michakato ni kama ilikuwa imesimama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…