KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Mkuu naomba nisaidie, unawezaje kujua global rom kupitia box!?Kiongozi ni global rom hio huioni boksi
Maandishi ya kichina. Global rom hazina shida labda tu kile kitendo cha simu kuwa flashed ndio kinaifanya simu ishuke thamani hata sokoni bei ipo chini compare na global version.Mkuu naomba nisaidie, unawezaje kujua global rom kupitia box!?
Vema. MkuuMaandishi ya kichina. Global rom hazina shida labda tu kile kitendo cha simu kuwa flashed ndio kinaifanya simu ishuke thamani hata sokoni bei ipo chini compare na global version.
Hio device inaonekana ni nzuri ila kwa maisha ya kibongo mie bei siiwez
Xiaomi ilianza kama mkombozi wa wanyonge lakini kadiri siku zinavyokwenda bei inazidi kupanda.Watu wanashindwa hata kuelewa mantiki ya uzi, xiaomi inajadiliwa hapa sababu at least ni simu nzuri kwa watu wa kipato cha chini.
Ukiona mtu analeta habari za samsung sijui lg hapa jua clearly hajaelewa maana ya uzi wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo yule tapeli Yoshas upewe ban ya maisha.Aisee hivi inakuaje nimepewa ban kwenye group la xiaomi wakati sijavunja sheria yoyote?.. Admin wa group njoo nipe ufafanuz kwanin nimekuwa banned?
Thibitisha kuwa mimi ni yoshasWewe ndo yule tapeli Yoshas upewe ban ya maisha.
Umeacha id yako ya Yoshas umehamia huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kadri unavyoendelea kubishana na kuniquote ndio unadhihirika ulivyo YoshasThibitisha kuwa mimi ni yoshas
Nimekuomba uthibitishe kuwa mimi ni yoshas unabaki kujikanyaga kanyaga tu.. DickheadKadri unavyoendelea kubishana na kuniquote ndio unadhihirika ulivyo Yoshas
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu hii bidha inaweza nifikia kwa shilingi ngapi mpaka bongoView attachment 1389088
Sent using Jamii Forums mobile app
Xiaomi ilianza kama mkombozi wa wanyonge lakini kadiri siku zinavyokwenda bei inazidi kupanda.
Wewe ndo yule tapeli Yoshas upewe ban ya maisha.
Umeacha id yako ya Yoshas umehamia huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukijichanganya unapigwa, simu umepoteza nenda police watatrack kupitia kitengo cha Cybersecurity crime, ukitaka mtelezo vya hawa wa JF umepigwa.Mkuu samahani yule jamaa anaejinadi kuwa saidia watu kupata simu zao zinapoibiwa amegeuka na kuwa taper tena mkuu mimi binafsi nilitaka kumpa kazi yangu ya kuwatrack wezi wa simu uangu sasa nilivoona hii skendo nimeingiwa wasiwasi naomba uhakika kwa yeyote mwenye kumfahamu vizuri jmn please ili kama ndivo nami nisipigwe aisee
Watu wanashindwa hata kuelewa mantiki ya uzi, xiaomi inajadiliwa hapa sababu at least ni simu nzuri kwa watu wa kipato cha chini.
Ukiona mtu analeta habari za samsung sijui lg hapa jua clearly hajaelewa maana ya uzi wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nieleweshe kwanin umeni remove kwa group bila sababu ya msingi?...Angalizo lilishatolewa mara kadhaa kua, inatakiwa mtu utumie akili ya ziada ili mambo yako yakae sawa la sivyo ni kupigwa tu deily mnkwama wapi jamani. Hebu zingatieni please please usitume pesa kwa mtu usiyemuamini.