Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Watu wanashindwa hata kuelewa mantiki ya uzi, xiaomi inajadiliwa hapa sababu at least ni simu nzuri kwa watu wa kipato cha chini.
Ukiona mtu analeta habari za samsung sijui lg hapa jua clearly hajaelewa maana ya uzi wenyewe
Hio device inaonekana ni nzuri ila kwa maisha ya kibongo mie bei siiwez

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanashindwa hata kuelewa mantiki ya uzi, xiaomi inajadiliwa hapa sababu at least ni simu nzuri kwa watu wa kipato cha chini.
Ukiona mtu analeta habari za samsung sijui lg hapa jua clearly hajaelewa maana ya uzi wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Xiaomi ilianza kama mkombozi wa wanyonge lakini kadiri siku zinavyokwenda bei inazidi kupanda.
 
Wakuu hii bidha inaweza nifikia kwa shilingi ngapi mpaka bongo
Screenshot_2020-03-15-16-33-17-220_com.android.browser.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hivi inakuaje nimepewa ban kwenye group la xiaomi wakati sijavunja sheria yoyote?.. Admin wa group njoo nipe ufafanuz kwanin nimekuwa banned?
 
Mkuu samahani yule jamaa anaejinadi kuwa saidia watu kupata simu zao zinapoibiwa amegeuka na kuwa taper tena mkuu mimi binafsi nilitaka kumpa kazi yangu ya kuwatrack wezi wa simu uangu sasa nilivoona hii skendo nimeingiwa wasiwasi naomba uhakika kwa yeyote mwenye kumfahamu vizuri jmn please ili kama ndivo nami nisipigwe aisee
Wewe ndo yule tapeli Yoshas upewe ban ya maisha.
Umeacha id yako ya Yoshas umehamia huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu samahani yule jamaa anaejinadi kuwa saidia watu kupata simu zao zinapoibiwa amegeuka na kuwa taper tena mkuu mimi binafsi nilitaka kumpa kazi yangu ya kuwatrack wezi wa simu uangu sasa nilivoona hii skendo nimeingiwa wasiwasi naomba uhakika kwa yeyote mwenye kumfahamu vizuri jmn please ili kama ndivo nami nisipigwe aisee
Ukijichanganya unapigwa, simu umepoteza nenda police watatrack kupitia kitengo cha Cybersecurity crime, ukitaka mtelezo vya hawa wa JF umepigwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ni wale wazee wa kujimwambafai......
Watu wanashindwa hata kuelewa mantiki ya uzi, xiaomi inajadiliwa hapa sababu at least ni simu nzuri kwa watu wa kipato cha chini.
Ukiona mtu analeta habari za samsung sijui lg hapa jua clearly hajaelewa maana ya uzi wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Redmi Note 7 Pro
 
Xiaomi Users TZ
Welcome to Xiaomi Fans & Users TZ Group! [emoji4] Feel free to share your experiences with others, Your New Xiaomi brands, MIUI New features & Online Shopping and purchases experiences from Aliexpress, Amazon, eBay, Banggood, Taobao, Gearbest, Alibaba e.t.c...!
Xiaomi Users TZ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalizo lilishatolewa mara kadhaa kua, inatakiwa mtu utumie akili ya ziada ili mambo yako yakae sawa la sivyo ni kupigwa tu deily mnkwama wapi jamani. Hebu zingatieni please please usitume pesa kwa mtu usiyemuamini.
 
Back
Top Bottom