YonDu Udonta
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 723
- 569
Hawana ofic na wala hawatakiw kuwa na office wao ni plattform ya kukutanisha seller na buyer kwan hujawah kununua kitu online? Kutoka abroad?.. Maana swali lako linaonesha huna uzoefu na hizi biashara za online
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikuu sio kama ali express.... Kikuu delivery ya kikuu wanafanya wenyewe lazima uende ofisin kwao au watakuletee ulipo.. Nakikuu ina operate kwenye inch zenye ofis zao tu... Wakat ali ni worldwide shipping utapanga wewe na seller utachagua either kwa posta au express mail kama ups, dhl kwa seller wanaotumia izo njia... Ukitumia aliexpress standard shiping ambayo kwa namna nyingine ni sawa na fulfilled by amazon wao watawatumia singpost kama agent wao... So mzigo wako utaupokea posta kwakutumia postal address au express shiping kwakutumia physical addressHawatakiwi???
Mkuu unaweza kueleza kwa nini kikuu wana office?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio mkuu ndio maana nauliza. So hao wauzaji ni legit, hakuna scummers huko?Hawana ofic na wala hawatakiw kuwa na office wao ni plattform ya kukutanisha seller na buyer kwan hujawah kununua kitu online? Kutoka abroad?.. Maana swali lako linaonesha huna uzoefu na hizi biashara za online
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna na pesa yako ipo salama hata muuzaji akiwa scammer, maana aliexpress ni mtu kati, kati yako na muuzaji. Ukipokea mzigo unathibitisha kuupokea ndipo muuzaji anapewa chakeNdio mkuu ndio maana nauliza. So hao wauzaji ni legit, hakuna scummers huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sanaHakuna na pesa yako ipo salama hata muuzaji akiwa scammer, maana aliexpress ni mtu kati, kati yako na muuzaji. Ukipokea mzigo unathibitisha kuupokea ndipo muuzaji anapewa chake
Dumelang
Inaweza kutumia hivi ving'amuzi vyetu vya kawaida?Kwa yeyote mwenye uhitaji wa MI TV na haujui wapi utaipata, tuwasiliane PM.
View attachment 1437517
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa bongo mi tv naweza kupata kuanzia 500k-700k??Kwa yeyote mwenye uhitaji wa MI TV na haujui wapi utaipata, tuwasiliane PM.
View attachment 1437517
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapata kama utatoa order Mi TV 4X 43"Kwa bongo mi tv naweza kupata kuanzia 500k-700k??
Kuanzia inchi 42'...
pich bila beiUnapata kama utatoa order Mi TV 4X 43" View attachment 1438196View attachment 1438197View attachment 1438198View attachment 1438199
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmeona kwenye group la xiomi users la telegram tv ya mi ya inch 65 ni 1,250,000/= je ni kwel Mr. Mobile
Sent using Jamii Forums mobile app
Ook...so ukitaka mzigo unafika baada ya ck ngap?...na vp cost zingne au hyo hyo cost inakuwa inajumuisha kila kitu?
Hakuna na pesa yako ipo salama hata muuzaji akiwa scammer, maana aliexpress ni mtu kati, kati yako na muuzaji. Ukipokea mzigo unathibitisha kuupokea ndipo muuzaji anapewa chake
Dumelang
Ook...so ukitaka mzigo unafika baada ya ck ngap?...na vp cost zingne au hyo hyo cost inakuwa inajumuisha kila kitu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Game limerudi AE au bado pagumu?Bei naiweka hapo inajumuisha kila kitu chief... View attachment 1439081
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko pagumu sana kipindi hiki, mizigo inachukua mda mrefu sana kufika wakati huu wa covid-19Game limerudi AE au bado pagumu?
watu twataka kujilipua