Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hawana ofic na wala hawatakiw kuwa na office wao ni plattform ya kukutanisha seller na buyer kwan hujawah kununua kitu online? Kutoka abroad?.. Maana swali lako linaonesha huna uzoefu na hizi biashara za online

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawatakiwi???

Mkuu unaweza kueleza kwa nini kikuu wana office?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hawatakiwi???

Mkuu unaweza kueleza kwa nini kikuu wana office?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kikuu sio kama ali express.... Kikuu delivery ya kikuu wanafanya wenyewe lazima uende ofisin kwao au watakuletee ulipo.. Nakikuu ina operate kwenye inch zenye ofis zao tu... Wakat ali ni worldwide shipping utapanga wewe na seller utachagua either kwa posta au express mail kama ups, dhl kwa seller wanaotumia izo njia... Ukitumia aliexpress standard shiping ambayo kwa namna nyingine ni sawa na fulfilled by amazon wao watawatumia singpost kama agent wao... So mzigo wako utaupokea posta kwakutumia postal address au express shiping kwakutumia physical address

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa yeyote mwenye uhitaji wa MI TV na haujui wapi utaipata, tuwasiliane PM.
-819225169.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry mkuu nina swali...

Kuna baadhi ya shipping methods hazina tracking, Mfano Aliexpress Standard shipping.

Sasa utajuaje kama mzigo wako umefika?
Hakuna na pesa yako ipo salama hata muuzaji akiwa scammer, maana aliexpress ni mtu kati, kati yako na muuzaji. Ukipokea mzigo unathibitisha kuupokea ndipo muuzaji anapewa chake

Dumelang
 
Back
Top Bottom