Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Simu nzuri lakini ukiagiza haizidi laki nne
 
4+128 gb

Nipo Zanzibar

whatsapp 0692119300

Mobile 0679657733

Bei laki tano
 
Hodi humu....
Wadau ninampango wa kuagiza xiaomi redimi 8 kwa bei nimeambiwa ni RMB 1000 Sawa kama na 345k TSH ivi je ni valid??....
Naomba pia ushauri kuhusu earphones kali yenye mkito wa maana na bei zake.

Ahsanteni
Redmi note 7 4gb + 128 Njoo tufanye biashara
 
Wale walioagiza mizigo mwezi wa 3 vip ishafika? Mimi kwangu status inaonesha order completed wakati mzigo haujafika
 
Laki tano fixed

0679657733 mobile

0692119300 whatsapp

4+128 gb

Nipo Zinjibar
 
Kampuni gan mzuri kununua simu online? Pia malipo tunatumia mpesa mastercard
 
Mimi nimenunua vitu toka mwez wa tatu havijafika bado
Kuship wana ship, kufika ndio mtihani, sijui ulitumia shipping gani lakin mimi niliagiza mwezi wa 3 tareh 11 na mwezi wa nne tarehe 26 nilipata mzigo, ulichelewa lakini sio miezi
 
Wale walioagiza mizigo mwezi wa 3 vip ishafika? Mimi kwangu status inaonesha order completed wakati mzigo haujafika
Ndiyo full kuchelewa. Mimi niliambulia miwili ambayo niliipata mwezi wa tano ambayo niliiagiza mwezi wa 3, mingine bado. Ila ukitrack inaonesha mizigo imefika Tanzania,ukiuliza posta hakuna kitu (haijafika)
 
Hatimae nimehamia katika chama ili Redmi 8A nimenunua Duka la tigo,kwa kweli ipo saafi,korona ikiisha rasmi nitaagiza Redmi Note 7 au 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…