Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nina redmi note 6Pro ila imeanza kusumbua inajizima na kujiwasha yenyewe mara kwa mara. Tumefanya reset lakini tatizo bado lipo pale pale. Je, wadau mnafikiri tatizo ni nini?
 
Nina redmi note 6Pro ila imeanza kusumbua inajizima na kujiwasha yenyewe mara kwa mara. Tumefanya reset lakini tatizo bado lipo pale pale. Je, wadau mnafikiri tatizo ni nini?
Inaweza kuwa ina software problem.....jribu ku flash
 
Ki
Kiongozi naomba kufahamishwa kidogo kuhusu hapa manake ushamba mzigo
Sijui sana mambo ya power output ila nitaelezea kwa uelewa wangu.

30W fast charging ni kwamba charger yake ina power ya 30 watts ambayo inauwezo wa kujaza battery from flat to 100% ndani ya dakika 70. Hiyo ni the same kama utaamua kutumia wireless charger inatakiwa iwe na 30W kwa better battery life.

Reverse wireless charging ni kutumia simu yako kuchajia device nyingine ambayo nayo pia inasupport wireless charging. Inaweza kuwa simu nyingine, smart watch au smart band. Sasa power output yake ndo inakua 5W.
 
Inapokua mpya unapata complete πŸ‘ŒπŸ’― aina zote mbili za chaja?
 
Inapokua mpya unapata complete πŸ‘ŒπŸ’― aina zote mbili za chaja?
 
Inapokua mpya unapata complete [emoji108][emoji817] aina zote mbili za chaja?
Hapana mkuu.. Unapata fast charger hiyo ya 30W pekee. Simu iliyowahi kuwekwa wireless charger kwenye package ni Mi Mix 3. The rest zinauzwa separately
 
Hapana mkuu.. Unapata fast charger hiyo ya 30W pekee. Simu iliyowahi kuwekwa wireless charger kwenye package ni Mi Mix 3. The rest zinauzwa separately
Haya sawa na itakuwa bei mkasi ila kuchaji wireles kuna heshima yake kiongozi
 
Angalieni review ya Mi 10 ultra hiyo ni balaa. new king in town[emoji621]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…