Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Simu za xiaomi ni bora sana..natumia redmi 8a iko poa sana..
Hii note 8A ulichukua ile yenye 3GB RAM na 32 GB ROM au ile 4GB+64GB ROM? Nimeona proccesor yake iko poa tu kwa matumizi ya kawaida.
 
Hivi hao watu wa posta sijui wana nini, huko nyuma status yangu ilikua inaonyesha mzigo uko posta. Nikiwasiliana na seller anasema anaona nishachukua mzigo wakati bado.

Nilichofanya nilimuandikia sms kali yule seller nikitishia ku-open dispute na kuweka negative feedback, wale jamaa somehow waungwana walinipa saa 48 ya kutatua huo mkwamo hatimae baada ya saa 72 nikapata mzigo wangu.

Shida ingine inaweza kua kwa logistic company unayotumia, mfano kuna hawa wanaitwa Singapore post, Kama sijakosea aisee kwa uzoefu mdogo nilionao ukiagiza item afu ukaona msafirishaji ni hao niliowataja jiandae kwa lolote.
Kwa uzoefu nlionao singpost ndio njia reliable....na wanakuhakikishia kuupata mzigo wako......ukitukia AliExpress standard shipping ujue mzigo wako utatumwa na singpost......na wenye uzoefu wetu tunashauri watu watumie AliExpress standard shipping sabab AliExpress ndio wata take carr mzigo wako na kuwatukia 4px kuupeleka singpore then singpost watautuma dar es salam...

Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
 
Mwezi wa tatu hadi sasa hujapata parcel? Niliwahi kuagiza saa na niliagiza kwa kupishanisha siku. Saa moja shipping fee ilikua free ingine nililipa.

Hii ya free shipping ilikaa almost miezi miwili haijafika japo ndo ilikua order ya kwanza. Ile niliyolipia ilifika ndani ya wiki tatu, hapa ule msemo wa bure gharama una-apply.

Sasa mkuu unasema toka mwezi wa tatu hadi leo hii September bado hujapata na still unataka kuagiza item ingine!! Mi nadhani wasaliana na seller ujue hatma ya hizo parcel za March
Upo sahihi kabisa , items za free shipping nyingi majanga , Kuna charger niliagiza mwezi January , ilikuja kuingia miezi Saba baadaye , yaani Hadi nilisha assume imepotea
Kwa ajili ya better shipping nadhan ni bora kuachana na free shipping items. Item nyingine zinazochelewa ni za china post .
 
Kwa uzoefu nlionao singpost ndio njia reliable....na wanakuhakikishia kuupata mzigo wako......ukitukia AliExpress standard shipping ujue mzigo wako utatumwa na singpost......na wenye uzoefu wetu tunashauri watu watumie AliExpress standard shipping sabab AliExpress ndio wata take carr mzigo wako na kuwatukia 4px kuupeleka singpore then singpost watautuma dar es salam...

Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
Asante kwa kushare! Kuna item nimeagiza ila logistic ni hawa AliExpress standard shipping. Kumbe hawa singpost wanashirikiana na AliExpress standard shipping!! I thought ni two separate entity.
 
Hivi hao watu wa posta sijui wana nini, huko nyuma status yangu ilikua inaonyesha mzigo uko posta. Nikiwasiliana na seller anasema anaona nishachukua mzigo wakati bado.

Nilichofanya nilimuandikia sms kali yule seller nikitishia ku-open dispute na kuweka negative feedback, wale jamaa somehow waungwana walinipa saa 48 ya kutatua huo mkwamo hatimae baada ya saa 72 nikapata mzigo wangu.

Shida ingine inaweza kua kwa logistic company unayotumia, mfano kuna hawa wanaitwa Singapore post, Kama sijakosea aisee kwa uzoefu mdogo nilionao ukiagiza item afu ukaona msafirishaji ni hao niliowataja jiandae kwa lolote.
Ukiachana na expedited shipping, kwangu mie Singapore ndio the best normal shipper , Nimepoteza mzigo mmoja nadhan toka Nianze kuship na Singapore post back then mizigo yaon likuwa inashuka Nairobi kwanza kabla ya kuja Dar , nilipigwa simu hapo
 
Upo sahihi kabisa , items za free shipping nyingi majanga , Kuna charger niliagiza mwezi January , ilikuja kuingia miezi Saba baadaye , yaani Hadi nilisha assume imepotea
Kwa ajili ya better shipping nadhan ni bora kuachana na free shipping items. Item nyingine zinazochelewa ni za china post .
Sawa kabisa tena hawa Chinapost ndo hovyo kabisa. Item ikilipiwa shipping fee Kuna namna wanaipa uzito mkuu
 
Ukiachana na expedited shipping, kwangu mie Singapore ndio the best normal shipper , Nimepoteza mzigo mmoja nadhan toka Nianze kuship na Singapore post back then mizigo yaon likuwa inashuka Nairobi kwanza kabla ya kuja Dar , nilipigwa simu hapo
Mi sijajua kama hawa Singapore Wana collabo na AliExpress standard shipping! Anyway Kuna parcel yangu nimeagiza tar25/8/2020. Nikicheki status inaonyesha mzigo ushatoka China ngoja niendelee ku-buy time nione
 
Mkuu mimi online sio mzoefu sana zaid ya KIKUU, tatzo KIKUU wana sim chache za xiaom
Hao kikuu niliwahi kuwasoma humu humu JF, sasa kwa uzoefu huo huo wa kikuu download app ya AliExpress huko Xiaomi ndo nyumbani kwao. Ukishadownload unaweza agiza chief, mi pia sio mzoefu kiivo ila angalau nishaagiza item ndogo ndogo kama mara tatu nakomaa tu hakuna namna.
 
Mi sijajua kama hawa Singapore Wana collabo na AliExpress standard shipping! Anyway Kuna parcel yangu nimeagiza tar25/8/2020. Nikicheki status inaonyesha mzigo ushatoka China ngoja niendelee ku-buy time nione
Njia rahis ya kujua post gan inakutumia mzigo n kuangalia country code amazo ni herufi mbili zamwisho....bila shaka umewah kuona SG kwenye tracking number yako...mfano RB.........SG iyo sg ni country code ya singpore pia unaweza kwenda kwenye website ya singpost uka utrack mzgo wako......vile vile kama ilivyo kwa china post country code yao ni CN.....msitumie free shipping wala china post mizigo ya china post inakawaida ya kuzunguka tu china wiki 3 mara imerudishwa mara imetumwa

Elimu nzuri hii, ukweli hiyo SG kule mwisho wa tracking number sikua nafahamu ni country code. Imebidi niangalie upya ndo nikaikuta. Kwa maana hii unataka kusema hawa jamaa wa SG wako vizuri kwenye usafirishaji wa parcel sio.
 
Wapo vizuri mno mimi nikiona mzigo unasafirishwa na SG. Ninakuwa na amani ya kutosha.
 
Bei ya Xiaomi zipo kwenye Dirham

Ukiwa upo interested nitafute WhatsApp

0692119300

Jumatatu Asubuhi nitakua Zanzibar Jion nitakua dar
IMG_20200905_085628.jpg
 
Wapo vizuri mno mimi nikiona mzigo unasafirishwa na SG. Ninakuwa na amani ya kutosha.
Parcel zangu mbili zimepishana wiki moja zinasafirishwa na SG, estimation delivery date inaonyesha moja itafika mid September na ingine end September. Hope these dudes are smart.
 
Back
Top Bottom