Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Ulipokosea hapo kusema mtu wa visiwani na maelezo mengi ambayo hayaeleweki.
Sema hiv
1. Mtu wangu yupo Dar Sehem flan namba yake hii hapa
2. Ni ushahidi angalia u wa wa simu ulizowah kuwatumia baadhi ya wateja wako. Unaweza ficha hata details zao
Nimeelewa mkuu
 
Nimeelewa mkuu
Hayo yanaleta amani ukiyafuata, ata kama ungekuwa una duka ambapo unawa supply hizo simu, unatupa contact zao au ata sehemu ambapo una mtu wako.. maana wewe una makazi huku nchini... so unatupia contact na kuunganisha na ndugu zako waliopo huku.. mtu anakuwa na amani anamjua nani kampatia hela na anajua wapi anaweza kumpata mambo yakienda kushoto.
 
Ntalifanyia kazi [emoji1666][emoji1666]
 
HIV hii mi 10 ultra ni ya mtanzania kweli?
Simu zote globalversion ni world wide sema linapokuja suala la bei ndio litatoa mwongozo kama ni affordable kwa nchi yetu au laah. Binafsi pesa yetu haina thamani Tu ila kwa product za xiaomi zilivyochini ilitakiwa ata tusihangaike na redmi ilikua ni mwendo qa highend Tu kama vile mataifa mengine Mi series zinauzika sana
 
Kweli mkuu! Kuna member anaitwa Mwl RCT aliaminika na kila mtu humu, kaja kutokomea na oda za watu.
Huyu jamaaa nae katokomeea...maaana alikuwa muam8nifu sana...alaf kafany iii business kwa muda sana...vip yamemkuta yap...au anaumwa....aliwah kuniagizia item flan mara 2 nkazipata

Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuu! Kuna member anaitwa Mwl RCT aliaminika na kila mtu humu, kaja kutokomea na oda za watu.
Eeh! Sidhani, ebu thibitisha.
Hii ninayoitumia aliniagizia yeye kwa uaminifu mkubwa sana mpaka nikawaunganisha washikaji na marafiki zangu kwake.. na wote wamepata mizigo yao kwa wakati.
 
Huy napinga tena sana Tu, ila kuhusu huyu jamaa kazidi kunitia wasiwasi jana, Iko hivi alinipa namba ya mtu ambaye yuko bongo namba ya airtel akaniambia nikituma pesa kwa hii namba nimfowadie muamala, nikajaribu kuipigia namba mara mbili bola kupokelewa, nikampa majibu kwa njia ya wasap kua namb ulionipa haipokelewi, akajibu kua niwe na subira Tu atanicheki. Kilichotokea ile namba moka leo haijapiga na cha ajabu baad ya kama nusu saa hivi jamaa akaniplease kua nitume tu hela pasipo kujali mwenye namba atanicheki baadae. hHapa nikazidi pata hofu kubwa zaidi, sikumjibu kitu baadae akaniuliza mkuu umefikia wapi? Kina msauziya wapo kina Mwalimu Crt wapo na hata maduka ya online na physical yako kueni makini msije pitiwa na upepo wa xiaomi hali ngumu hizi
 
Ah hahaha wewe uliwasiliana nae?? Vipi mbona hukunijibu ulipo fikia naona ulikaa kimya kama sio wewe Yani bro ulitaka kutuma laki mbili afu simu umepga mara mbili imekua shida [emoji1787][emoji1787]
 
Huy napinga tena sana Tu, ila kuhusu huyu jamaa kazidi kunitia wasiwasi jana, Iko hivi alinipa namba ya mtu ambaye yuko bongo namba ya airtel akaniambia nikituma pesa kwa hii namba nimfowadie muamala, nikajaribu kuipigia namba mara mbili bola kupokelewa, nikampa majibu kwa njia ya wasap kua namb ulionipa haipokelewi, akajibu kua niwe na subira Tu atanicheki. Kilichotokea ile namba moka leo haijapiga na cha ajabu baad ya kama nusu saa hivi jamaa akaniplease kua nitume tu hela pasipo kujali mwenye namba atanicheki baadae. hHapa nikazidi pata hofu kubwa zaidi, sikumjibu kitu baadae akaniuliza mkuu umefikia wapi? Kina msauziya wapo kina Mwalimu Crt wapo na hata maduka ya online na physical yako kueni makini msije pitiwa na upepo wa xiaomi hali ngumu hizi
Summation ya chatting zetu by the way nahisi hakuna haja ya kulumbana saana na pesa yako mwenyewe play Safe bro and take care
IMG_20200909_005047.jpg
 
Back
Top Bottom