Huy napinga tena sana Tu, ila kuhusu huyu jamaa kazidi kunitia wasiwasi jana, Iko hivi alinipa namba ya mtu ambaye yuko bongo namba ya airtel akaniambia nikituma pesa kwa hii namba nimfowadie muamala, nikajaribu kuipigia namba mara mbili bola kupokelewa, nikampa majibu kwa njia ya wasap kua namb ulionipa haipokelewi, akajibu kua niwe na subira Tu atanicheki. Kilichotokea ile namba moka leo haijapiga na cha ajabu baad ya kama nusu saa hivi jamaa akaniplease kua nitume tu hela pasipo kujali mwenye namba atanicheki baadae. hHapa nikazidi pata hofu kubwa zaidi, sikumjibu kitu baadae akaniuliza mkuu umefikia wapi? Kina msauziya wapo kina Mwalimu Crt wapo na hata maduka ya online na physical yako kueni makini msije pitiwa na upepo wa xiaomi hali ngumu hizi