kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,706
- 6,901
Reasonable price, sasa endapo mteja atahitaji vitu kama glass protector au cover unaweza kua navyo?Laki nne themanini na tatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Reasonable price, sasa endapo mteja atahitaji vitu kama glass protector au cover unaweza kua navyo?Laki nne themanini na tatu
Hiyo Redmi note 9S kule site ya AliExpress mteja anaweza opt kuongeza baadhi ya item kama Mi band 4, case glass, nk na Kila kimoja kinakua na bei yake ndo maana nikakuuliza endapo mteja atahitaji hizo items unaweza kua navyo? Au wewe unauza simu ambayo ni boxed na ndani yake kunakua na chaja plus ile cover inayokuja na simu?Kwa kiwango gani mkuu??
Oh okay nmekufaham now, yes kama unataka Ivo unaweza ukapata vyote in fair price kikawaida wengi hununua Simu Tu na coverHiyo Redmi note 9S kule site ya AliExpress mteja anaweza opt kuongeza baadhi ya item kama Mi band 4, case glass, nk na Kila kimoja kinakua na bei yake ndo maana nikakuuliza endapo mteja atahitaji hizo items unaweza kua navyo? Au wewe unauza simu ambayo ni boxed na ndani yake kunakua na chaja plus ile cover inayokuja na simu?
Both availableView attachment 1559209Hiyo Redmi note 9S kule site ya AliExpress mteja anaweza opt kuongeza baadhi ya item kama Mi band 4, case glass, nk na Kila kimoja kinakua na bei yake ndo maana nikakuuliza endapo mteja atahitaji hizo items unaweza kua navyo? Au wewe unauza simu ambayo ni boxed na ndani yake kunakua na chaja plus ile cover inayokuja na simu?
Chief Mi band 4 na hizo earpiece bila shaka ni zile wireless ni pesa ngapi?
Aridots wireless Dirham 25 ambayo ni Sawa na buku kumi na tano ya nyumbaniChief Mi band 4 na hizo earpiece bila shaka ni zile wireless ni pesa ngapi?
Band 4 ni Dirham 55 = 35000 ya nyumbani Kwa bei ya hapa DubaiChief Mi band 4 na hizo earpiece bila shaka ni zile wireless ni pesa ngapi?
Kwa hiyo itanitoka kama 50k kwa item zote mbili. Uko Dubai au Tz?Band 4 ni Dirham 55 = 35000 ya nyumbani Kwa bei ya hapa Dubai
SijafahamuNatafuta watu wa ICT Networking mpo mlio Dubai?
Laki tano kamili ndani ya siku mbiliWakuu nataka redmi note 9 pro max ram 6gb rom 128gb,nitaipata kwa bei gan mpaka kufika bongo na itachukua mda gan mpaka ifike?
Ndugu Hasani hebu tuaminishe, kwa hili kama wewe ni mfanyabiashara na una makazi bongo(means hukosi rafiki).Tunaomba utuwekee utaratibu mzigo tulipie baada ya kua mzigo umefika bongo, hii kauli ya kutuambia tutume hela Tu utatuma products ukipotea tunaanzia wapi kukupata . Tuwe makini wadogo zangu ye ye kama ni mfanyabiashara na anamtaji alete mzigo hata kama ni kwa kutanguliza advance ya pesa kwa mtu tunayemjua huku kisha tutachukua mizigo huko ata ikitokea tumepigwa tunaanza na huyo mtu hukoLaki tano kamili ndani ya siku mbili
0692119300 nione wasap
Ndugu kilangi masanja nmekuelewa matakwa yako, nadhani na wewe ulitaka mzigo na ukaomba upewe ushuhuda sijui uliwasiliana nao?? Lakini pia kwenye suala la biashara kila mtu ana utaratibu wake. Utaratibu wangu Mimi ni huu na wala simlazimishi mtu kulipa pesa nadhani Kwa bei zangu na system yangu ilivyo naridhika na wateja wangu na kama kuna yoyote ambae kafanya kazi na Mimi au hakupata haki yake aseme.Ndugu Hasani hebu tuaminishe, kwa hili kama wewe ni mfanyabiashara na una makazi bongo(means hukosi rafiki).Tunaomba utuwekee utaratibu mzigo tulipie baada ya kua mzigo umefika bongo, hii kauli ya kutuambia tutume hela Tu utatuma products ukipotea tunaanzia wapi kukupata . Tuwe makini wadogo zangu ye ye kama ni mfanyabiashara na anamtaji alete mzigo hata kama ni kwa kutanguliza advance ya pesa kwa mtu tunayemjua huku kisha tutachukua mizigo huko ata ikitokea tumepigwa tunaanza na huyo mtu huko
Namba yangu ya mawasiliano nyumbaniNdugu Hasani hebu tuaminishe, kwa hili kama wewe ni mfanyabiashara na una makazi bongo(means hukosi rafiki).Tunaomba utuwekee utaratibu mzigo tulipie baada ya kua mzigo umefika bongo, hii kauli ya kutuambia tutume hela Tu utatuma products ukipotea tunaanzia wapi kukupata . Tuwe makini wadogo zangu ye ye kama ni mfanyabiashara na anamtaji alete mzigo hata kama ni kwa kutanguliza advance ya pesa kwa mtu tunayemjua huku kisha tutachukua mizigo huko ata ikitokea tumepigwa tunaanza na huyo mtu huko
Ulipokosea hapo kusema mtu wa visiwani na maelezo mengi ambayo hayaeleweki.Ndugu kilangi masanja nmekuelewa matakwa yako, nadhani na wewe ulitaka mzigo na ukaomba upewe ushuhuda sijui uliwasiliana nao?? Lakini pia kwenye suala la biashara kila mtu ana utaratibu wake. Utaratibu wangu Mimi ni huu na wala simlazimishi mtu kulipa pesa nadhani Kwa bei zangu na system yangu ilivyo naridhika na wateja wangu na kama kuna yoyote ambae kafanya kazi na Mimi au hakupata haki yake aseme.
Lakini Vile vile Kwa watu ambao hutakiwa kufanya malipo hupewa namba za simu ili kama nipo Dubai unatuma kabla hujatuma amana yako lazima uwasiliane na Huyo mtu lakini wengi hua hamufiki uko na kuishia njian.
Sisi watu wa visiwani tunafanya biashara Kwa misingi ya ukweli na uaminifu bila ya matatizo na mtu tofauti na watu wengi wa mainland nadhan nitakua nimefahamika.
Take care any time..
Indeed mkuu upo sahihi Sana lakini inabidi iwe hivi Kwa upande wangu Mimi hususan nikikuchukulia huku ikija nyumbani price ni different kabisaKwenye maswala ya pesa hakuna kumuamin mtu 100% izi habari za kulipia mzigo haupo mkononi ni hatari sana any time t....utaenda kulilia choochon...
Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app