Natumia xiaomi redim note 10 mpyaa, nimeichukua mwezi wa 9 mwishoni, bei ya kawaida sanaHello wanajukwaa natumai ni wazima wa afya!
Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.
BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.
KARIBUNI
Natumia xiaomi redim note 10 mpyaa, nimeichukua mwezi wa 9 mwishoni, bei ya kawaida sana
Kwanimzee redmi note 10 imetoka au mie machoyangu yanahitaji VPNNatumia xiaomi redim note 10 mpyaa, nimeichukua mwezi wa 9 mwishoni, bei ya kawaida sana
Utakua una simu ingine mzee usichanganye madesa.Kwanimzee redmi note 10 imetoka au mie machoyangu yanahitaji VPN
Sipo babu linaitwaje nijiungeTyping error aisee, nilikua nakuuliza uko kwa group yetu ya telegram
(SOLD)
redmi note 8
Ram 4gb
Storage 64gb
Camera Kali
Ina wiki
Nataka 400k
PmView attachment 1582448View attachment 1582449View attachment 1582452View attachment 1582454
Mzee hapo ulipo ndio penyewe cha msingi we futa tu izo apps za kichina mzigo uzidi kupendeza ila huku global kuna fratures za kisenge tu heri ubaki huko huko tuWazee WA Xiaomi natumia Redmi note 8 yenye Chinese rom nahitaji kujua je Kuna njia kubaidilisha kuwa Global roms? View attachment 1633898
VIP mkuu izo simu za Redmi ubora wake ukoje ??Wazee WA Xiaomi natumia Redmi note 8 yenye Chinese rom nahitaji kujua je Kuna njia kubaidilisha kuwa Global roms? View attachment 1633898
VIP mkuu izo simu za Redmi ubora wake ukoje ??
InawezekanaWazee WA Xiaomi natumia Redmi note 8 yenye Chinese rom nahitaji kujua je Kuna njia kubaidilisha kuwa Global roms? View attachment 1633898