Magema Jr
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,299
- 1,197
Natumia xiaomi redim note 10 mpyaa, nimeichukua mwezi wa 9 mwishoni, bei ya kawaida sanaHello wanajukwaa natumai ni wazima wa afya!
Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.
BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.
KARIBUNI