Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Sawa mkuu nikirejea mjini nitajaribu japo kuna jamaa wanadai nitapoteza bands ni 50 fifty
 
Naomba nikuulize mkuu, ninatumia Xiaomi Redmi note 8 Chinese Version. Nina laini ya Halotel ambayo ni 4G lakini ukiweka kwenye hii simu inaonesha H+ tu lakini nikiweka laini ya Tigo napata huduma ya 4G. Shida ni nini hapo?
 
Halotel maeneoeng 4g haishiki au ikishika kwa kiasi kidogo sana..kwa vile kiui haina option ya 4g only so inajiswitch to H unaweza ku download application ambayo itailazimisha simu kushika 4g kwa halotel lakin trus me minala inaweza isisome kabisa...sabab eneo ulipo halina 4g....labda kama upo mjini kutakuwa na shida nyingine

Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
 
hapa nilipo kuna 4G na iko vizuri kuzidi mitandao mingine. Nilikuwa natumia simu nyingine yenye 4G kabla ya kununua hii.
 
Basi jarib kufanya research....band za 4gb za halotel then ujue band za 4g zinazokuwa supported na simu...jarib ingia play store download app inaitwa 4g only then switch to 4g only uone nn kitatokea

Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
 
Nimejaribu kuweka hiyo app ya 4G only lakini imeshindikana, nikiiset iwe 4G only inakata mitandao kabisa.
 
Naomba nikuulize mkuu, ninatumia Xiaomi Redmi note 8 Chinese Version. Nina laini ya Halotel ambayo ni 4G lakini ukiweka kwenye hii simu inaonesha H+ tu lakini nikiweka laini ya Tigo napata huduma ya 4G. Shida ni nini hapo?
Halotel hasa mjini band yao ni 7(2600) na tigo wanatumia band 800 na 1800.

Hivyo kuna uwezekano wa hio note 8 kuwa ni version isio na band 7

Nimepitia Gsmarena naona kuna version mbili, moja ina band zote za Tanzania kama 3, 7, 20 na 40 wakati nyengine haina band 7 na 20
 
kwa hiyo hakuna namna naweza kupata 4G?
 
mambo la ajabu ni kwamba nikiweka laini ya Tigo napata 4G lakini laini ya Halotel inakata.
 
Ukiangalia hio picha model zote mbili zina band 3, ndio maana unapata tigo 4g, ila model moja haina band 7 ndio maana hupati halotel 4g.
 
Mkuu sorry,nashindwa kufungua attachment hapa JF.Naomba nipe setting za kufungua
 
Ukiangalia hio picha model zote mbili zina band 3, ndio maana unapata tigo 4g, ila model moja haina band 7 ndio maana hupati halotel 4g.
Mkuu naona siku hzi mfumo wa band kwenye simu kama wamebadili namna ya kuandika kama ilivyozoeleka

Sasa hivi wanaandika 1,2,3,4....34n.k, binafsi nashindwa kuelewa zinalenga freqs zipi specifically
 
Yah wamebadili mkuu, hata mimi najua tu za Tz nyengine mpaka nigoogle.

Zipo wikipedia namba na frequency angalia hapa.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…