Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Habari wakuu,
Natafuta fundi inayeweza kunirekebishia simu yangu redmi note 6 pro iliangukia kwenye maji, mi nipo Mwanza.
 
Ukiangalia hio picha model zote mbili zina band 3, ndio maana unapata tigo 4g, ila model moja haina band 7 ndio maana hupati halotel 4g.
Chief samahani...Nina options mbili hapa Kati ya Samsung A11 na redmi 9a, unashauri nchukue ipi??
Naomba comparison in terms of bands za 4G, processing performance na fast charging
Thanks in advance

Oh my..... ain't no tellin
 
1. Kwa fast charging samsung inayo 15w, wakati 9a haina. Ni 10w kawaida, samsung ina 4000mah na 9a ina 5000mah hivyo hio A11 itajaa faster zaidi.

2. Kuhusu Band zote zina coverage ya Band zote Tz sema 9A ina Lte Advance hivyo kwa baadhi ya Mitandao pengine ikawa na speed zaidi.

3. Perfomance A11 ipo juu zaidi kuliko 9a

Sema mkuu kuna redmi 9 kama unaipata kwa kenya Haifiki laki 3 ni nzuri kushinda zote hizi mbili.
 
Chief nashkuru kwa uchambuzi. Samahani kwa mara nyngne, je Kati ya redmi 9 na redmi note 8 ipi ni bora in terms of performance na specs??

Oh my..... ain't no tellin
 
Chief nashkuru kwa uchambuzi. Samahani kwa mara nyngne, je Kati ya redmi 9 na redmi note 8 ipi ni bora in terms of performance na specs??

Oh my..... ain't no tellin
Note 8 nzuri zaidi lakini bei pia ni tofauti, redmi 9 base model hata laki 3 haifiki.
 
Asante sana CHIEF MKWAWA nimechukua A11 ipo vzr kioo pia kiko powa. Na inajaa fasta kweli
 
Nani ana supply MI hapa bongo
Nataka redmi note 9 pro max new
Asiniletee bei za tamaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…