Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
6+128gb tzs 680kMkuu hii inaendaa kwa shingap?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
6+128gb tzs 680kMkuu hii inaendaa kwa shingap?
Chief samahani...Nina options mbili hapa Kati ya Samsung A11 na redmi 9a, unashauri nchukue ipi??Ukiangalia hio picha model zote mbili zina band 3, ndio maana unapata tigo 4g, ila model moja haina band 7 ndio maana hupati halotel 4g.
1. Kwa fast charging samsung inayo 15w, wakati 9a haina. Ni 10w kawaida, samsung ina 4000mah na 9a ina 5000mah hivyo hio A11 itajaa faster zaidi.Chief samahani...Nina options mbili hapa Kati ya Samsung A11 na redmi 9a, unashauri nchukue ipi??
Naomba comparison in terms of bands za 4G, processing performance na fast charging
Thanks in advance
Oh my..... ain't no tellin
64gb naulizia mkuu6+128gb tzs 680k
hakuna64gb naulizia mkuu
redmi note 8 ya gb 64 bei gani?hakuna
385kredmi note 8 ya gb 64 bei gani?
Redmi 9 unazo mkuu??385k
Tatizo hii simu kubwa sana
Chief nashkuru kwa uchambuzi. Samahani kwa mara nyngne, je Kati ya redmi 9 na redmi note 8 ipi ni bora in terms of performance na specs??1. Kwa fast charging samsung inayo 15w, wakati 9a haina. Ni 10w kawaida, samsung ina 4000mah na 9a ina 5000mah hivyo hio A11 itajaa faster zaidi.
2. Kuhusu Band zote zina coverage ya Band zote Tz sema 9A ina Lte Advance hivyo kwa baadhi ya Mitandao pengine ikawa na speed zaidi.
3. Perfomance A11 ipo juu zaidi kuliko 9a
Sema mkuu kuna redmi 9 kama unaipata kwa kenya Haifiki laki 3 ni nzuri kushinda zote hizi mbili.
Note 8 nzuri zaidi lakini bei pia ni tofauti, redmi 9 base model hata laki 3 haifiki.Chief nashkuru kwa uchambuzi. Samahani kwa mara nyngne, je Kati ya redmi 9 na redmi note 8 ipi ni bora in terms of performance na specs??
Oh my..... ain't no tellin
Chief hiv kati ya redmi note 9 na samsung A21s ipi iko vizur kuanzia performanc na cameraNote 8 nzuri zaidi lakini bei pia ni tofauti, redmi 9 base model hata laki 3 haifiki.
Performance note 9,Chief hiv kati ya redmi note 9 na samsung A21s ipi iko vizur kuanzia performanc na camera
MI ama redmi? Redmi haijatoka ila soon.Hivi bei ya note 10 pro inasimamia ngapi sahv?
Ok. Xiaomi Mi [emoji106][emoji106][emoji106]MI ama redmi? Redmi haijatoka ila soon.
MI ni around milioni 1.
Asante sana CHIEF MKWAWA nimechukua A11 ipo vzr kioo pia kiko powa. Na inajaa fasta kweli1. Kwa fast charging samsung inayo 15w, wakati 9a haina. Ni 10w kawaida, samsung ina 4000mah na 9a ina 5000mah hivyo hio A11 itajaa faster zaidi.
2. Kuhusu Band zote zina coverage ya Band zote Tz sema 9A ina Lte Advance hivyo kwa baadhi ya Mitandao pengine ikawa na speed zaidi.
3. Perfomance A11 ipo juu zaidi kuliko 9a
Sema mkuu kuna redmi 9 kama unaipata kwa kenya Haifiki laki 3 ni nzuri kushinda zote hizi mbili.