Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

HATIMAYE NIKO NA SIMU YANGU MPYA AMBAYO NILIINUNUA KWA LENGO LA KUFUATA CHINESE VERSION YA XIAOMIHAWA JAMAA WANAJUA SANA AISEE[emoji122][emoji122][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Enjoy. Umechukua xiaomi ipi?
 
1. Kwa fast charging samsung inayo 15w, wakati 9a haina. Ni 10w kawaida, samsung ina 4000mah na 9a ina 5000mah hivyo hio A11 itajaa faster zaidi.

2. Kuhusu Band zote zina coverage ya Band zote Tz sema 9A ina Lte Advance hivyo kwa baadhi ya Mitandao pengine ikawa na speed zaidi.

3. Perfomance A11 ipo juu zaidi kuliko 9a

Sema mkuu kuna redmi 9 kama unaipata kwa kenya Haifiki laki 3 ni nzuri kushinda zote hizi mbili.
Nimehamia rasmi kmpuni ya Oppo mkuu, Niko ndani ya A92, sijutii
 
Karibu sana, niko na oppo A93 hapa kitu muruuua kabisaa
Smooth gaming..
Screenshot_2021-01-04-09-49-02-65_057d1b167b3282a3258cf729b2946cb9.jpg
 
Wakuu kwenye redmi note 8 nakumbana na shida ya kutokuweza kusoma flash(otg)
Kwenye spec inaonyesha kuwa unaweza kuitumia lkn kila kiniweka haisomi, shida ni simu au nini?
Na miss vitu vyangu vingi tu
IMG_20210107_174854.jpg
Screenshot_2021-01-07-17-49-33-464_com.android.settings.jpg
 
Back
Top Bottom