Mzenjibar
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 227
- 292
I agree its fair and not too expensive price.anabei sawa na bure 1.5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I agree its fair and not too expensive price.anabei sawa na bure 1.5
Enjoy. Umechukua xiaomi ipi?HATIMAYE NIKO NA SIMU YANGU MPYA AMBAYO NILIINUNUA KWA LENGO LA KUFUATA CHINESE VERSION YA XIAOMIHAWA JAMAA WANAJUA SANA AISEE[emoji122][emoji122][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Nimeongezea tu mzee xiaom toka 2017 mpka leo kila kukicha kazima iwe mfukon mwanguEnjoy. Umechukua xiaomi ipi?
pamoja sana mzeeNimeongezea tu mzee xiaom toka 2017 mpka leo kila kukicha kazima iwe mfukon mwangu
Nina redmi note 4 imepasuka kioo naweza pata wapi kioo chake.Nimeongezea tu mzee xiaom toka 2017 mpka leo kila kukicha kazima iwe mfukon mwangu
China kama gomz tuNina redmi note 4 imepasuka kioo naweza pata wapi kioo chake.
Unaweza niagizia mkuu?China kama gomz tu
Unaidh wapi tukuelekez ununue mwenyewe mbona simpo tu ila ni kusubir wiki tatu ndio unakitia mkononiUnaweza niagizia mkuu?
Kuangiza inachukua muda gani hadi kuipata?385k
siku 21Kuangiza inachukua muda gani hadi kuipata?
Nimehamia rasmi kmpuni ya Oppo mkuu, Niko ndani ya A92, sijutii1. Kwa fast charging samsung inayo 15w, wakati 9a haina. Ni 10w kawaida, samsung ina 4000mah na 9a ina 5000mah hivyo hio A11 itajaa faster zaidi.
2. Kuhusu Band zote zina coverage ya Band zote Tz sema 9A ina Lte Advance hivyo kwa baadhi ya Mitandao pengine ikawa na speed zaidi.
3. Perfomance A11 ipo juu zaidi kuliko 9a
Sema mkuu kuna redmi 9 kama unaipata kwa kenya Haifiki laki 3 ni nzuri kushinda zote hizi mbili.
oppo ni nzuri mkuu tatizo bei zao tu, kama unaipata kwa reasonable price ni simu nzuri.Nimehamia rasmi kmpuni ya Oppo mkuu, Niko ndani ya A92, sijutii
Ni kweli, hata UI yake imekaa vizuri Sana japo version za zamani walikua kama Wana clone GUI ya appleoppo ni nzuri mkuu tatizo bei zao tu, kama unaipata kwa reasonable price ni simu nzuri.
Mkuu Xiomi katoa mnyama mwingine Mi 11
[emoji28][emoji28][emoji28]
Hatari sna ila ata ukiwa na Mi 10 T pro
Utakua umetisha sna
Karibu sana, niko na oppo A93 hapa kitu muruuua kabisaaNimehamia rasmi kmpuni ya Oppo mkuu, Niko ndani ya A92, sijutii
Saafi kabisa mkuuKaribu sana, niko na oppo A93 hapa kitu muruuua kabisaa
Smooth gaming..Karibu sana, niko na oppo A93 hapa kitu muruuua kabisaa
Smooth gaming..View attachment 1667183
Akikujibu unitagGame gani hii Mkuu?