Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Uki connect hakuji menu yoyote kwenye notification bar inayoonesha mode ya usb?Wakuu kwenye redmi note 8 nakumbana na shida ya kutokuweza kusoma flash(otg)
Kwenye spec inaonyesha kuwa unaweza kuitumia lkn kila kiniweka haisomi, shida ni simu au nini?
Na miss vitu vyangu vingi tuView attachment 1671037View attachment 1671038