Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nipo mkuu na Mi Max, iko.poa betri unatumia siku nzima.data ikiwa on
 
Mimi natumia mi max prime gb64 .. international vision
Xiaom mi max prime nipo apa..
 
Kweli na mimi ninayo. Nzuri sana. Ila yangu ni ya kichina... mambo mengi ni kichina nilinunua Beijing , it was for China consumers. Kuna vitu vinanipiga chenga kwa sababu ya lugha.
Model gn?,,,unaweza change rom ikawa international
 
WAKUU HEBU TUFANYE UWIANO.WA FEATURES ZILIZOONGEZEKA KWA MIUI 9 kwa global.version na chinese
 
yaap sasa baada ya kua nimepata hio update hapo juu[emoji16][emoji16][emoji16] ndio kuna baadhi ya vitu vinazidi nikosha kabisa kwa hao wachina tujaribu kushare .mimi binafsi nimevutiwa zaidi na maboresho ya second space ukitazam hapa niko second space kwa hio screen.short but pia themes na wallpaper za kufa mtu
 
Xiaomi mi max
Mint condition
Dual simcard
Bei:350,000/=
Ca/whatsapp:0659782778
 

Attachments

  • tapatalk_1515522032155.jpeg
    25.2 KB · Views: 81
  • tapatalk_1515522036036.jpeg
    32.2 KB · Views: 82
  • IMG_20180109_212514.jpg
    24 KB · Views: 82
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…