Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Haionyeshi kitu kabisa mkuu nimejaribu kuwa developer lkn wapi
Jaribu labda kucheki waya kwa simu nyengine ama jaribu waya mwengine.

Kama unaconect storage device pia jaribu kutumia 3rd party file manager.
 
Wakuu mnaotumia Redmi note 9S, nimejaribu ku-reboot simu tajwa kwa kawaida ikiwa ina reboot hua ina display neno "Redmi".

Nimereboot like two times inaanza kudisplay neno Redmi halafu baada ya sekunde kadhaa inamalizia ku-reboot kwa kuonyesha logo ya apple; swali, inakuaje inakua hivyo? Au ndio virus washaingia kwa device yangu

Msaada CHIEF MKWAWA
 
Dah mkuu [emoji23][emoji23][emoji23] nisamehe sana nimecheka ila hiyo kiboko ngoja jamaa aje na mimi nipate elimu.
 
Dah mkuu [emoji23][emoji23][emoji23] nisamehe sana nimecheka ila hiyo ni kiboko ngoja jamaa aje na mimi nipate elimu.
Hata mimi imenishangaza na hiyo picha nimepiga kwa simu ingine wakati na reboot Kwa mara ya tatu na bado inadisplay neno redmi baada ya sekunde kadhaa inakuja logo ya apple na mwisho inawaka fresh tu.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hii inaitwa kimpe kisangameni[emoji1787][emoji1787].

hapa hata @chiefmkwawa ataomba aletewe gwajimaa[emoji28][emoji28]
Ndio maana nilitaka wale wanaotumia Redmi note 9S wajaribu na wao kureboot simu zao waone huo utamu ha ha aisee hizi simu hatari
 
Hio simu ina root? Haijaekwa custom rom?

Kwa simu za Android unaweza kuweka custom boot animation, pengine kuna mtu alibadilisha boot animation.
 
Hio simu ina root? Haijaekwa custom rom?

Kwa simu za Android unaweza kuweka custom boot animation, pengine kuna mtu alibadilisha boot animation.
Haijawekewa custom ROM na hakuna ambaye amewahi ishika ni mimi mwenyewe toka nilipoinunua.
 
Haijawekewa custom ROM na hakuna ambaye amewahi ishika ni mimi mwenyewe toka nilipoinunua.
Nimeangalia xiaomi pia themes zao zina custom boot animation, hujaweka theme mpya? Kama umeweka nenda setting za theme kuna option ya kubadili.
 
Hio simu ina root? Haijaekwa custom rom?

Kwa simu za Android unaweza kuweka custom boot animation, pengine kuna mtu alibadilisha boot animation.
Mkuu nimepata solution, kumbe kilichokuwa kinafanya logo ya apple itokee ni theme niliyodownload na kui-apply. Ile theme ndo ina hiyo logo, nimebadilisha na kuweka default setting upande wa theme nikairestart ikawaka kama inavyofanya siku zote.

Sometimes hizi theme sio, kuna siku nililazimika kuformat simu kisa hizi hizi theme.
 
Nimeangalia xiaomi pia themes zao zina custom boot animation, hujaweka theme mpya? Kama umeweka nenda setting za theme kuna option ya kubadili.
Asante sana mkuu,, nilipata wazo la theme Ile niliyodownload kuwa inaweza kua ndo soucre. Nilipoibadilisha ikawa fresh, kuna siku nilidownload theme flani hivi tena ni theme za hao hao Xiaomi, I mean zinakua updated na wao Xiaomi kilichonitokea nilijuta kubadilisha.

Simu ilistack, ikawa inaboot mpaka mahali fulani inashindwa kuwaka, korokochoa wee,, Ngoma bado inabuma. Option ya mwisho ilibidi niformat simu, naomba unipe elimu kwa nini baadhi ya theme zina crush simu?
 
Issue mkuu themes zao kama zinabadili hadi boot animation ina maana wamezipa ruhusa kubwa sana.

Si kila developer ana ujuzi wa kucheza na system files na ku deal na version tofauti tofauti za android bila kuharibu jambo fulani.

Boot animation inasomwa kabla Ya simu kuwaka, kukiwa na tatizo ama file lime corrupt inaweza sababisha bootloop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…