Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Aiseee hebu subirisubiri.... Mzigo utakuja tu. Mara ya kwanza kuagiza mzigo nilikuwa kama wewe.
 
Mzigo wako umetua TZ leo
 
Mizigo huwa inachukua mwezi kutokea China. Around hizi tarehe utaupata tu.
 
Pocco m3 , redmi note9 4g na redmi 9T ni simu aina moja , pocco being the cheapest of them all,
 
Samahani kwani ni Mara yako ya kwanza kuagiza mzigo mtandaoni?
Hv wazee nataka kuagiza mzigo ila nahofia makato ya tra,maana kuna mdau alileta uzi juu ya makato hayo kuwa makubwa sana,wazoefu nifafanulieni gharama za tra nikienda chukua mzigo posta
 
Hv wazee nataka kuagiza mzigo ila nahofia makato ya tra,maana kuna mdau alileta uzi juu ya makato hayo kuwa makubwa sana,wazoefu nifafanulieni gharama za tra nikienda chukua mzigo posta
Unaagiza nini hadi uhofie makato? Labda kama unaagiza kibiashara package kubwa 25-40Kg ila kama ni hizi simu binafsi sijawahi kukatwa zaidi ya ile tozo ya watu wa posta Tshs 2350!! Na nishaagiza mara nyingi sana mwendo ni uleule 2350 nakamata parcel nasepa.

Ila kuna mdau aliwahi sema kama unaaagiza na una hofu ya kukatwa na hao TRA, unaanza kumpanga seller aweke low price kitu cha dolar 400 unamwambia aandike dolar 40 ila Mimi sijawahi waambia wa-declear low price. Kazi kwako
 
Mkuu kati ya redim 9 na pacco m3 ipi iko poa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…