Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Pia mkuu kati ya infinix hot 10 na xiaomi redim 9 katika simu zenye hazi ipi bora kati hizo?
Unaweza ukaangalia hapa

-Kwenye 4g redmi 9 ina lte Advance wakati Hot 10 haina hivyo kwenye speed ya internet redmi 9 ni nzuri.

-display redmi 9 ni full HD 1080p na hot 10 ni HD kawaida 720p, redmi 9 ina display nzuri zaidi

-performance redmi 9 ina helio G80 na hot 10 ina helio G70, redmi 9 ina performance kubwa

-Kwenye Location hot 10 ina GPS tu wakati Redmi 9 ina GPS, glonass, beidou etc hivyo kwenye mambo ya ramani, Uber, bolt etc redmi 9 ipo vyema.

-redmi 9 bei yake rahisi zaidi kwa around 60k mpaka 70k hivi.

-pengine Pia redmi 9 ikawa na camera nzuri zaidi, zote zina camera 4 Ila hot 10 ama tecno na infinix kwa ujumla huwa wnaweka camera feki kuongeza idadi, hata ukiangalia specs wame weka 0.3mp na 2mp kibao ukitoa main camera.
 
Duuuh aisee jibu limeshiba sana Mkuu nakushukuru sana nafikiri nitachukua simu mbili redim 9 na poco m3 kunastaff member pia anahitaji
 
Bwana Chief Mkwawa kuna brad inaitwa

UMIDIGI Vp inaweza kua zaidi ya infinix au Tecno?

Au ni watoto wa baba mmoja?

Nimeziona sana alliexpress
 
Hapana ni wale wale tu mkuu,

Brand nzuri za simu za China ni Huawei, Xiaomi, Oppo, Vivo, Oneplus pengine na Lenovo, wengine inabidi uangalie specs mara mbili mbili.
Hahaha nimekupata mkuu! Nikajua labda kuna unafuu
 
mkuu kwaizi bei ii redmi 9 napata wapi!!??
 
Wajomba habari yenu , naombenu ushauri wenu hivi nikiwa na pesa 450k naweza pata simu nzuri , mpya ? Maana nataka ninunue simu ila isiwe tecno, itel , samsung wala infinix .
Napendekeza iwe Oppo, xiaomi , huawei tu.
 
Mkuu kwanza sijamaanisha hio redmi inauzwa bei hio, nimemaanisha tu utofauti wa bei baina yao, kuna wadau Wali quote bei ya hot 10 kama 370K,

Kenya redmi 9 ni Around hio laki 3, sometime 290k sometime 310k etc inachezea humo.
Mkuu vipi kuhusu performance ya Redmi 9c, kwa matumizi ya kawaida
 
@Chief-Mkwawa redimi inayofanana na poco m3 ni redim note 9t
Cpu Yake ni snapdragon siyo helio
redmi 9 ni helio G80, Realbest ndio simu aliouliza huko juu, hio redmi note 9 4g nilitoa tu suggestion.

pia redmi note 9t si equivalent ya poco m3, labda kama umechanganya redmi 9t.

redmi note 9T inatumia mediatek dimensity 800U

hii comparison baina ya poco m3, redmi 9t na redmi note 9 4g, ni simu moja majina tofauti na region tofauti
 
Ila nadhani wanapromote pocco series , maana ndio cheapest ukilinganisha na redmi 9t au redmi note 9 4g, japo ni simu moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…