Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
poco m3 ipo vizuri, sema hio poco m3 kwa redmi inaitwa redmi note 9 4g, simu moja majina tofauti.Mkuu kati ya redim 9 na pacco m3 ipi iko poa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poco m3 ipo vizuri, sema hio poco m3 kwa redmi inaitwa redmi note 9 4g, simu moja majina tofauti.Mkuu kati ya redim 9 na pacco m3 ipi iko poa?
Pia mkuu kati ya infinix hot 10 na xiaomi redim 9 katika simu zenye hazi ipi bora kati hizo?poco m3 ipo vizuri, sema hio poco m3 kwa redmi inaitwa redmi note 9 4g, simu moja majina tofauti.
Ikishaitwa tu INFINIX basi hadhi hamna tenaPia mkuu kati ya infinix hot 10 na xiaomi redim 9 katika simu zenye hazi ipi bora kati hizo?
Unaweza ukaangalia hapaPia mkuu kati ya infinix hot 10 na xiaomi redim 9 katika simu zenye hazi ipi bora kati hizo?
Bwana Chief Mkwawa kuna brad inaitwaUnaweza ukaangalia hapa
Compare Infinix Hot 10 vs. Xiaomi Redmi 9 - GSMArena.com
m.gsmarena.com
-Kwenye 4g redmi 9 ina lte Advance wakati Hot 10 haina hivyo kwenye speed ya internet redmi 9 ni nzuri.
-display redmi 9 ni full HD 1080p na hot 10 ni HD kawaida 720p, redmi 9 ina display nzuri zaidi
-performance redmi 9 ina helio G80 na hot 10 ina helio G70, redmi 9 ina performance kubwa
-Kwenye Location hot 10 ina GPS tu wakati Redmi 9 ina GPS, glonass, beidou etc hivyo kwenye mambo ya ramani, Uber, bolt etc redmi 9 ipo vyema.
-redmi 9 bei yake rahisi zaidi kwa around 60k mpaka 70k hivi.
-pengine Pia redmi 9 ikawa na camera nzuri zaidi, zote zina camera 4 Ila hot 10 ama tecno na infinix kwa ujumla huwa wnaweka camera feki kuongeza idadi, hata ukiangalia specs wame weka 0.3mp na 2mp kibao ukitoa main camera.
Hapana ni wale wale tu mkuu,Bwana Chief Mkwawa kuna brad inaitwa
UMIDIGI Vp inaweza kua zaidi ya infinix au Tecno?
Au ni watoto wa baba mmoja?
Nimeziona sana alliexpress
Hahaha nimekupata mkuu! Nikajua labda kuna unafuuHapana ni wale wale tu mkuu,
Brand nzuri za simu za China ni Huawei, Xiaomi, Oppo, Vivo, Oneplus pengine na Lenovo, wengine inabidi uangalie specs mara mbili mbili.
mkuu kwaizi bei ii redmi 9 napata wapi!!??Unaweza ukaangalia hapa
Compare Infinix Hot 10 vs. Xiaomi Redmi 9 - GSMArena.com
m.gsmarena.com
-Kwenye 4g redmi 9 ina lte Advance wakati Hot 10 haina hivyo kwenye speed ya internet redmi 9 ni nzuri.
-display redmi 9 ni full HD 1080p na hot 10 ni HD kawaida 720p, redmi 9 ina display nzuri zaidi
-performance redmi 9 ina helio G80 na hot 10 ina helio G70, redmi 9 ina performance kubwa
-Kwenye Location hot 10 ina GPS tu wakati Redmi 9 ina GPS, glonass, beidou etc hivyo kwenye mambo ya ramani, Uber, bolt etc redmi 9 ipo vyema.
-redmi 9 bei yake rahisi zaidi kwa around 60k mpaka 70k hivi.
-pengine Pia redmi 9 ikawa na camera nzuri zaidi, zote zina camera 4 Ila hot 10 ama tecno na infinix kwa ujumla huwa wnaweka camera feki kuongeza idadi, hata ukiangalia specs wame weka 0.3mp na 2mp kibao ukitoa main camera.
Mkuu kwanza sijamaanisha hio redmi inauzwa bei hio, nimemaanisha tu utofauti wa bei baina yao, kuna wadau Wali quote bei ya hot 10 kama 370K,mkuu kwaizi bei ii redmi 9 napata wapi!!??
Mkuu vipi kuhusu performance ya Redmi 9c, kwa matumizi ya kawaidaMkuu kwanza sijamaanisha hio redmi inauzwa bei hio, nimemaanisha tu utofauti wa bei baina yao, kuna wadau Wali quote bei ya hot 10 kama 370K,
Kenya redmi 9 ni Around hio laki 3, sometime 290k sometime 310k etc inachezea humo.
Redmi 9c ina G25 helio na core 8 za Cortex A53, sio mbaya performance yake Ila kwa muono wangu kuongeza kidogo na kununua redmi 9 ni jambo LA busara.Mkuu vipi kuhusu performance ya Redmi 9c, kwa matumizi ya kawaida
Ahsante kwa ushauri wako mkuu[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Redmi 9c ina G25 helio na core 8 za Cortex A53, sio mbaya performance yake Ila kwa muono wangu kuongeza kidogo na kununua redmi 9 ni jambo LA busara.
@Chief-Mkwawa redimi inayofanana na poco m3 ni redim note 9tpoco m3 ipo vizuri, sema hio poco m3 kwa redmi inaitwa redmi note 9 4g, simu moja majina tofauti.
redmi 9 ni helio G80, Realbest ndio simu aliouliza huko juu, hio redmi note 9 4g nilitoa tu suggestion.@Chief-Mkwawa redimi inayofanana na poco m3 ni redim note 9t
Cpu Yake ni snapdragon siyo helio
Ila nadhani wanapromote pocco series , maana ndio cheapest ukilinganisha na redmi 9t au redmi note 9 4g, japo ni simu mojaredmi 9 ni helio G80, Realbest ndio simu aliouliza huko juu, hio redmi note 9 4g nilitoa tu suggestion.
pia redmi note 9t si equivalent ya poco m3, labda kama umechanganya redmi 9t.
redmi note 9T inatumia mediatek dimensity 800U
Xiaomi Redmi Note 9T - Full phone specifications
www.gsmarena.com
hii comparison baina ya poco m3, redmi 9t na redmi note 9 4g, ni simu moja majina tofauti na region tofauti