Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mwl RCT unashaurije kuhusu hizo simu nyingine kama Homtom , Ouktel ,Ulephone na nyinginezo kuhusu kuzinunua ?
 
NARUDIA TENA KAMA KUNA MTU ANAHITAJI XIAOMI REDMI NOTE 4 used namwachia kwa laki mbili na hmsini.tu so mwenye uhitaji anifate pm.au hapahapa tuyamalize
 
Hii thread ili ni inspire sana kutumia simu xiaomi.
Nikaagiza yangu xiaomi mi5x (MiA1) kupitia huduma ya Mwl. RCT mnamo tarehe 3january nilipokea mzigo wangu.
Na enjoy tu...
 
Wakubwa nimeona kama Xiaomi india.com wana bei ya chini kuliko hata gearbest Na banggood au aliexpesss
 
simos hongera bonge la group aisee duuuh hadi.rah members tu kwanza ni.3k allover da world
 
kwa wale wanaopenda mzk earphones za xiaomi hzo hapo znapatkana kwa bei poa tu 25K hapa hapa bongo huna haja yakuziagza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…