MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
Hapa Bongo naona hazipo kabsa, kama vipi agiza tu. Mimi nimechukua Redmi note 10. Kwa 500k hapa bongo.Redmi note 10 pro itanigarimu ngapi mpaka kuishika mkononi Arusha nipo
We mtoto umeshindwa kabisa kuleta mrejesho wa hio pisi kali mjini vipi ufanisi wakeHapa Bongo naona hazipo kabsa, kama vipi agiza tu. Mimi nimechukua Redmi note 10. Kwa 500k hapa bongo.
Naongezea msisitizo wa swali. Iwe 6GB+128GBRedmi note 10 pro itanigarimu ngapi mpaka kuishika mkononi Arusha nipo
Mkuu hakika sijajutia Kununua hii simu, iko vizuri sana Camera kali mno, iko very fast, inakaa na chaji yaani dahWe mtoto umeshindwa kabisa kuleta mrejesho wa hio pisi kali mjini vipi ufanisi wake
Bongo zipo mkuu mbona kitambo,tembelea group la Xiomi users tz telegram utapata mainfo humo.Hapa Bongo naona hazipo kabsa, kama vipi agiza tu. Mimi nimechukua Redmi note 10. Kwa 500k hapa bongo.
Hahaaa tulia humo mie yangu naipiga mzigo sana yaan. Ni heavy users adi inaomba pooMkuu hakika sijajutia Kununua hii simu, iko vizuri sana Camera kali mno, iko very fast, inakaa na chaji yaani dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu glass protector zinapatikana iyo sehemu uliyonunua??Hapa Bongo naona hazipo kabsa, kama vipi agiza tu. Mimi nimechukua Redmi note 10. Kwa 500k hapa bongo.
hii inakuja na pre-installed protector, unapeta nayo tuuVipi kuhusu glass protector zinapatikana iyo sehemu uliyonunua??
Hongera. Hii simu kwangu kubwa sana siwezi itumia[emoji91]View attachment 1798784View attachment 1798785
Sent from my Redmi 3X using JamiiForums mobile app
Mkuu umeichukulia chimbo gani hyo mashine!??Hapa Bongo naona hazipo kabsa, kama vipi agiza tu. Mimi nimechukua Redmi note 10. Kwa 500k hapa bongo.
Mkuu kama uliikosa hii au ilikuwa gharama sana ukaghairi kununua mimi nataka tufanye biashara hiyo simu shida yangu ni display.
Unahitajii?Mkuu kama uliikosa hii au ilikuwa gharama sana ukaghairi kununua mimi nataka tufanye biashara hiyo simu shida yangu ni display.
Mkuu una maanisha nini mkuu halafu umenunulia wapi hiyo note 10 naitafuta balaaHii screen ya note 10 ina sensa hata kijiti
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dhaaaaHii screen ya note 10 ina sensa hata kijiti
AliexpressMkuu una maanisha nini mkuu halafu umenunulia wapi hiyo note 10 naitafuta balaa
Kwa bei gani mkuu mpaka kufika na imechukua mda gani mpaka kuishikaAliexpress
Nimetoa screen protector sa hv iko freshi
~490,000 6/128gb baada ya wiki 3Kwa bei gani mkuu mpaka kufika na imechukua mda gani mpaka kuishika