Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

mkuu hii umetumia shipping method ipi? maana naona dhl which is very expensive.

Au seller yupi anatuma kwa standard shipping? View attachment 1825840
Kuna store inaitwa Hong Kong Goldway

TZS 670,178.92 30%OFF | Global Version Xiaomi Mi 11 Lite Smartphone Snapdragon 732G Octa Core 64GB /128GB 64MP Rear Camera 4520mAh 33W Fast Charge NFC
 
Mi natumia redmi note 9, aijawwh kunisumbua tangu nimenunua mwaka jana mwezi WA 7 ndio zilikuwa hot zaidi, Ila hapa nafikiria kubadilisha kwenda note 10 pro na nashukuru huku nilipo zipo nyingi. Sema hizi simu ni ngumu Sana alaf ni imara Yan ishu kubwa Tz ilikuwa ni kupata accessories zake Kama protector na kava, ilinibidi niwe nakua naagizia eBay.
 
Hiyo Xiaomi Redmi Note 10 Pro
Memory 128GB, RAM 6GB ndio bei gani?
 
Zinaanzia na 680k, na hazina tofauti Sana na 8gb ram zote zinachezea humo
Naomba link tafadhali maana hapa natumia Redmi Note 7 Pro haijawahi kuniangusha. Ila juzi nimepata nayo ajali imepinda katikati na kuvunja kioo... Ingawa bado naitumia ila naiona haina maisha marefu toka sasa.
 
IZI SIMU ZIKO TIGO UNAPATA KWA 270,000 -450,000 NA GB KIBAO MWAKA MZIMA MIMI NINAYO MOJA, NA UNATUMIA LAINI YEYOTE
Shida yake ni processor
mkuu hio ni Mi 11 lite sio tecno au infinix. Confirm na hao tigo.

Hii simu ni SD 732G and AMOLED display.
 
aisee ninayo simu hapa redme 9c kutoka tigo unless you mean otherwise
macho3
betri 5000
GB 4/64
Redmi 9c haina tofauti na kina Samsung A02 kwa 270k ni bei ya kawaida sana, unaweza ipata chini ya hapo sehemu nyingi.
 
sasa unachobisha nini? simu zipo tigo ni wewe na pesa yako, TIGO OYEE
ila mnapenda ligi sio poa kuna tofauti hizo

redmi 9
redmi 9c
redmi 9T

halafu kuna Note series
Note 9
Note 9 pro

hizi bei za note ziko juu sio hizo ulizo tupa hapa (270-450)k


halafu kuna hiz Mi series jaribu kuzifahamu kwanza hizo simu kabla huja anza kuishangilia hiyo 9c yako ankoli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…