Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Habari ndugu zangu, leo hii tukiwa tumebakiwa na siku chache kuelekea kuufunga mwaka ,nipende kuwasalimu na pia kumshukuru Muumba kwa kutuwezesha kufikia hapa ,familia imekua na changamoto hazitokosekana pia ,nitumie uzi huu na mda huu kuitisha maoni , mchango na maswali yeyote kuhusu brand hii pendwa kwa wale walionayo na wasio nayo.
Pia kupitia uzi huu tupeane taarifa kwa kwa wale wauzaji upatikanaji wa bidhaa hizi hapa nchi ,pia kwa wale mnaouza used pia pitieni hapa kuweka mabandiko yenu .Uzi upo na grupu la takribani watu elfu moja 1000telegram so unaweza ingia tu telegramu kisha pale juu search Xiaomi users Tz utakua umetupata
 
Tupo pamoja kiongozi, natimia xiomi baada ya kupata ujanja kwenye huu uzi wako
 
Sas na mm nmehamia kweny xiaomi 9T nmeachana na infinix kwel kunautofauti mkubwa sana, pia inakaa na charge mda mrefu sana 4 ram/128 rom kwa 435k
Karibu kwenye familia mkuu, tofauti ipo kubwa sana ukiachilia mbali swala la kukaa na charge utaendelea kuona utofauti taratibu kadri unavoendelea kutumia, Bila shaka utakuwa balozi mzuri Kwa ndugu zako wa Infinix na Tecno

Endelea kuenjoy Redmi 9T yako wakati unaangalia uwezekano wa kupanda daraja ili uendelee kula mema ya mchina wa viwango vya standard gauge
 
Nashukur mkuu ni kwel utofaut upo mkubwa sema mengne nmeona kazi tu kuelezea
 
Karibu kwenye familia mkuu, tofauti ipo kubwa sana ukiachilia mbali swala la kukaa na charge utaendelea kuona utofauti taratibu kadri unavoendelea kutumia, Bila shaka utakuwa balozi mzuri Kwa ndugu zako wa Infinix na Tecno

Endelea kuenjoy Redmi 9T yako wakati unaangalia uwezekano wa kupanda daraja ili uendelee kula mema ya mchina wa viwango vya standard gauge
Huko mbelen nitapanda tu jamaa alitak aniuzie redmi 10 4ram/64 kwa 430k mm niliamua kuchukua hii
 
Habari za mwaka mpya ,
Natumaini maisha yanasonga mwana xiaomi now unaweza tupata kwenye grupu yetu na mambo yakawa sawa fanya ku scan hii.
 
Hii apa.
IMG_20220108_213015.jpg
 
GOOGLE PIXEL 4 BRAND NEW 64 GB, 760K FIXED... ANDROID 12, CAMERA IPHONE 11 HAISHIKI HAPAA.. 0693225606
Screenshot_20220110-135300~2.jpg
Screenshot_20220110-135308~2.jpg
 
Mimi mbona inaniambia hivi au nakosea?

Nakwama wapi?
Screenshot_2022-01-17-17-12-17-711_org.telegram.messenger.jpg
 
Nauliza bei ya Redmi 9 na Redmi 9T na wapi naweza kuzipata full in box ?
 
Back
Top Bottom