Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

wakulungwa, nina Redmi note 10, naomba kufahamishwa kama ninaweza kupunguza idadi ya Albums kwenye gallery. Namaanisha kwamba, kwenye gallery ukitumiwa picha kwa Whats app inaenda kwenye Album ya Whats app na wakati huohuo picha hiyohiyo unaikuta kwenye Album ya All photos, sasa hakuna uwezekano wa kufanya zote zikae kwenye Album husika? nkaifuta Album ya All photos?
 
All photo hizo ni thumbnail tu, picha yenyewe ipo kwenye whatsapp photo.
 
Xiaomi note10 pro ntapata kwa bei gan mkuu?
Tigo shop
Screenshot_2022-01-29-07-54-14-245_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2022-01-29-07-54-25-859_com.android.chrome.jpg
 
Hivi nawezaje kupiga picha na ikatoka na maneno? Mfano, nimepiga picha jengo nataka Ile picha ya jengo kwa chini yaonekane maneno fulani, achana na hizi zinazoonyesha aina ya simu...d
 
Na Huawei sio kwamba Hana Hela za ku develop OS, hii ni multi billion company, Sema tu culture za kichina zinawarudisha nyuma.

Waende tu Finland ama Urusi watapata MA injinia wa kutosha kukamilisha lengo lao.
Hao warusi si ndo hawana majaabu?maaana wameshindwa hata kucopy tu?
 
Hao warusi si ndo hawana majaabu?maaana wameshindwa hata kucopy tu?
Kulikuwa na Os inaitwa meego ya Nokia, Baada ya Nokia kuacha kutengeneza simu wakajitenga na kutengeneza os yao inaitwa sailfish.

Hawa jamaa wa sailfish wanalicence core yao kwa mtu yoyote kudevelop os kutokana na hii core, Russia wamelicence na wana os yao Inaitwa Aurora.

Kulikuwa na tetesi kabla ya Harmony Huawei os yake itakuwa Aurora. Even prototype ipo, Hii Aurora Russia inatumika serikalini, mashirika makubwa, na sehemu ambazo wanahitaji ulinzi. Kifupi ni alternative yao ya Os za Google na Apple.

Video ya hio os
 
Hivi nawezaje kupiga picha na ikatoka na maneno? Mfano, nimepiga picha jengo nataka Ile picha ya jengo kwa chini yaonekane maneno fulani, achana na hizi zinazoonyesha aina ya simu...d
Hili unaweza kufanya wakati wa kupiga picha au hata baada ya kuwa umeshapiga picha.

Kabla ya kupiga picha

Nenda kwenye setting halafu chagua watermark kisha nenda kwenye device watermark weka on. Baada ya hapo nenda kwenye custom watermark kisha andika maandishi unayotaka yasomeke kwenye picha unayotaka kupiga.

Baada:

Kwa picha yeyote ambayo imeshapigwa, unauwezo wa kuiwekea maandishi.
Nenda kwenye Edit kisha chagua watermark utakuta option mbili moja ni markup na nyingine ni text. Chagua style unayotaka kati ya hizo mbili kisha uandike unachotaka
 
Naomba kueleweshwa, wakati wa kuorder simu alliexpress Kuna sehem ya kuchagua plug mfano uk plug, us au au plug. Sisi Tanzania tunatumia pug ipi?
 
Back
Top Bottom