Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kuanzia 350K mpk 450K unanishauri nichukue Redmi ipi yenye ubora Tigo shop ?
 
Redmi 12C hakuna kitu pale, wamedowngrade karibu kila kitu kutoka kwa 10C, pia Redmi 12C ina poor hardware ukilinganisha na Redmi 10C.
Bado Redmi 12C inakuja na MediaTek Helio G85 ambayo ni weak kuliko Snapdragon 680 ya kwenye Redmi 10C
Storage type ya Redmi 12C ni eMMC 5.1 wakati Redmi 10C ina faster UFS 2.2 storage type. Bado Redmi 12C inatumia microUSB, haifai kwa matumizi ya 2023, wakati Redmi 10C inakuja na USB Type C 2.0.
There's no way Redmi 12C ikawa better than Redmi 10C. No wonder inauzwa bei rahisi kushinda 10C
 
Unaokoa zaidi ya 80k ukinunua 12c
 
Short and clear. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…