Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mkuu natarajia kuhama kutoka infinix nije huko
ktk ulimwengu wa xiaomi hasa hiyo redmi note 13 pro bila ya shaka nitaenjoy

Nitakuja kuomba na ma skills-hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Asante mkuu chief
 
Chuma Mpya Redmi Note 14 Series imeshatoka...

Chief Mkwawa tunakuomba ugusie kidogo hii simu
Redmi Note 14 Series launched in China: Know prices, specifications https://www.livemint.com/technology...prices-specifications-and-more-11727359324073
Bado tusubirie reviews, ila spec za mwanzo

- processor mara hii wamejitahidi sana for the first time since redmi note 10 series wameweka processor za maana ambazo ni competitive, 14 pro/pro+ inakuja na brand new snapdragon 7s gen 3 ambayo ni soc nzuri na 14 inakuja na dimensity 7000 series badala ya 6000.

-battery kubwa, bei nzuri (atleast ya china) fast charging nzuri.

Mambo mengine kama camera, ukaaji chaji, Display quality ni mpaka reviews.
 
Bdo reviews mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…