Bull Striker
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 456
- 1,003
Pia nina Redmi not 12 kweli Nina enjoy nayo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu natarajia kuhama kutoka infinix nije hukoXiomi, Note 11 pro 5G, Xiomi Note 13pro 5G, Camera na speed zipo vizuri, nachokubali zaidi ni hii second space, kwamba AI ikigundua simu yangu haijashikwa na mimi mwenyewe, ama itifaki haijazingatiwa, basi moja kwa moja itakupeleka kwenye second space, huko hutoambua chochote kuhusu mimi, utakuwa umechochola mazima.
Asante mkuu chiefImetoka nyengine mkuu Kureplace hio inaitwa Turbo 3,
Pia hizi simu kila kitu ni top notch kwa bei husika, so hata uchukue version ndogo kabisa itakua na ram 12GB na Storage 256GB na version kubwa inaenda ram hadi 16GB na Storage 1TB.
Kwa masoko ya China Inatembea kama 580K sasa hivi mpaka kuleta hapa 600-700K hivi.
Simu bandika bandua kila wiki, ivi wanatuonaje?Wakuu Leo 26 nafikiri inatoka Redmi not 14 Pro...
Wenye kuzichambua watusogezee ukali wake...
Ili Sisi tulio kwenye huu mfumo basi tujipigepige
Bado tusubirie reviews, ila spec za mwanzoChuma Mpya Redmi Note 14 Series imeshatoka...
Chief Mkwawa tunakuomba ugusie kidogo hii simu
Redmi Note 14 Series launched in China: Know prices, specifications https://www.livemint.com/technology...prices-specifications-and-more-11727359324073
Issue ya Mwanga high contrast naona kama ni shida kubwa sana kwa simu za Xiaomi na Redmi zote..ipi solution mkuu?zikiwasumbua kuhusu mambo ya Software mnistue wakuu
Kama una S22 ultra 14T some things ni improvement some not, ni more of sidegrade than upgrade, normal 14 Series nzuri zaidi.XIAOMI 14T MWENYE KUJUA HII SIMU VIZURII IS IT PERFECT COMPARED TO SAMSUNG S22 ULTRA?
Bdo reviews mkuu??Bado tusubirie reviews, ila spec za mwanzo
- processor mara hii wamejitahidi sana for the first time since redmi note 10 series wameweka processor za maana ambazo ni competitive, 14 pro/pro+ inakuja na brand new snapdragon 7s gen 3 ambayo ni soc nzuri na 14 inakuja na dimensity 7000 series badala ya 6000.
-battery kubwa, bei nzuri (atleast ya china) fast charging nzuri.
Mambo mengine kama camera, ukaaji chaji, Display quality ni mpaka reviews.
Bado Global haijatoka, ila soonBdo reviews mkuu??