Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Ntainunua hii pia mwisho wa mwezi, shukran kwa details
 
okay.dah bas itabidi nirudi tena kwa iphone 5s au SE maana ndo nakua huru zaidi kwa cm ya inch 4
cheki na Sony au Samsung.

Kwa samsung wana galaxy A3 2017 ni simu nzuri kiasi chake.

na sony wana xz1 compact ambayo ni latest kwa specs. ina sd835 4gb ram.

 
binafsi natumia redmi note 4x (4g rom, 64gb internal)
na kwa tatzo lolote kuhusu mi device yako just check me
 
redmi note 4x (4gb rom, 64gb internal)
before nimetumia redmi note lte, mi max, note 2
 
Xiaomi mi max 32GB
6.44" Display
RAM: 3GB
Tip top condition
Dual simcard
Bei 380,0000 (negotiable)
Call/whatsapp 0659782778
 
wataalamu naomba msaada,nashindwa kuconect network nimejaribu japo sio mtaalam ,ni redmi note 4
 
Wakuu nimesoma thread nzima mdo naimaliza,,nimeona kati ya hizo simi hizi mbili moja wapo itanifaa,,napenda sana picha nzuri so mnishauri kati ya MI MIX 2 au MI6?kuna mtu anakuja nataka kumuagiza ASAP @chiefmkwawa msauziy
Cheers
Agiza hii: Xiaomi Mi Mix 2
 
Toa Maelezo Ili Tununue Bei Inaanzia Ngapi ? Kamera Zake Ukubwa Gani Na Je Ni Quality ? Vip Ram Na Processer ?
Bei: Ni bajeti yako tu, Zipo za kuanzia USD120 hadi USD600
Quality: Zinaubora mkubwa, kwa bei nafuu, Zinafananishwa na iPhone,
Camera: Zipo kuanzia 8mp hadi 13mp

Baadhi ya Xiaomi zenye ubora mkubwa wa kulinganishwa na matoleo mapya ya brand kama Samsung au iphone ni hizi.

1. Xiaomi Mi Mix 2 au hii 2. Xiaomi Mi 6



3. Xiaomi Mi A1


4. Xiaomi Redmi Note 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…