Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Chief nimeona hii redmi 4x YouTube inafanyiwa test ya water resistant kwa kutumia coca cola ilikuwa inashindanishwa na galaxy s8 zote zikawa fresh baada ya test ila hii 4x ilionekana bora kulinganisha na price yake
hizo water resistant zina ratings zake, bila kuiona hio video siwezi jua, na cocacola sidhani kama ni kipimo cha kujua simu inahimili maji ama la.

mfano kuna
ip68 - hii inamaanisha simu inahimili maji mpaka kina cha mita 1 na nusu kwa muda wa nusu saa
ip67- hii ni kina cha mita 1 kwa nusu saa
ip66- inaprotect na water splash

hivyo unaona kuna utofauti, s8 yenyewe ina ip68 inamaana unaweza ukaingia nayo kwenye swiming pool na kuoga nayo na kupiga picha. ili uipime kama s8 inafanya kazi yake cocacola si kipimo utatakiwa uizamishe kwenye bwawa au kina hicho cha mita 1 ili kujua.
 
Mimi na taka kununua hiyo xiamo sasa nataka ambayo ina umbo la sumsung s6 edge am a s7 edge
 
Umeambiwa fanya hivi agiza online mkuu huu uzi umeeleza kila kitu tusiwe wavivu sana kusoma pale tunapokuwa tunaihitaji wa kitu.
Nimeuliza nipate original source, mie ni miongoni mwa Watz naependa kusoma sana hasa kutafuta nyuzi zilizopita humu JF, JF kupitia Jukwaa la Teknolojia inaendeshwa kwa style mbili mkuu moja kusoma na mbili kuuliza maswali na tumekuwa tukisaidiana hivyo ukiona mtu kauliza wakati mwingine anakuwa amechoka anataka kupata kitu kutoka original source (nimepita kwenye huu uzi saa 6 usiku) na kina Chief-Mkwawa wamekuwa wakitusaidia bila kutukatisha tamaa na tulikuwa tunasoma tusipoelewa tunarudi mpaka leo tunaangalia mipira na ma-Tv kwenye laptop kwa style hiyo hiyo
 
Sawa boss sikumaanisha usome uzi mzima na naelewa jukwaa linaendaje ila mfano napoingia uzi mpya napenda kurudi walau page tano nyuma zilizopita ili walau nipate mwanga nini kinaendelea na hivo basi niliongea hivo nilitegemea hata ungerudi hatua 3 nyuma ungekuwa tayari na jibu anyway kwa busara yako majibu utapata mkuu.
 
Pamoja mkuu kimsingi nilikuwa nimechoka tu si kingine, ahsante kwa maneno ya hekima...by they nikutakie jpili njema
 
unatumia line gani? simu yako inakubali 4g ya band 3 (1800) na 40 (2300)

hivyo mitandao hii inakufaa
-Vodacom 4g
-TTCL 4g
-Smart 4g

na tigo pia itashika 4g lakini mjini tu,
Habari mkuu?
Nina Xiaomi redmi 2. Inanisumbua kitu kimoja tu. Kuna wakati hii simu inajizima yenyewe. Na ikijizima unatoa betri na kuweka tena ndipo ijiwashe yenyewe au uiwashe. Na katika ukaaji wa chaji haina shida. Inajitahidi tu. Ila shida ipo kwenye huo ugonjwa wa kujizima yenyewe...
 
kama vile limelegea hilo battery, sometime battery ikiwa loose kukitokea mtikisiko simu inajizima hadi uiwashe mwenyewe. solution ya kienyeji wanayofanya mtaani huwa wanaweka kikaratasi nyuma ya battery ili ikaze.
 
kama vile limelegea hilo battery, sometime battery ikiwa loose kukitokea mtikisiko simu inajizima hadi uiwashe mwenyewe. solution ya kienyeji wanayofanya mtaani huwa wanaweka kikaratasi nyuma ya battery ili ikaze.
Asante mkuu. Ngoja nifanye huo utaratibu nione kama inaweza tatua tatizo.
 
kama vile limelegea hilo battery, sometime battery ikiwa loose kukitokea mtikisiko simu inajizima hadi uiwashe mwenyewe. solution ya kienyeji wanayofanya mtaani huwa wanaweka kikaratasi nyuma ya battery ili ikaze.
Bado shida ipo pale pale. Yani ikishazima tu Ukitoa battery na kuiweka tena huwa inajiwasha yenyewe
 
Xiaomi device yangu haifanyi USSD... siwez kuangalia salio au tigo pesa..
msaada jaman
 
Bado shida ipo pale pale. Yani ikishazima tu Ukitoa battery na kuiweka tena huwa inajiwasha yenyewe
sifahamu mkuu itakuwa na nini. labda ujaribu tu trial and errror. anza na kufactory reset, ikishindikana iflash, ikishindikana jaribu custom rom etc.
 
Xiaomi mi 5x
Ram 4GB
Capacity 64GB
Dual camera 12MP+12MP
Battery Capacity 3080mAh

Clean condition has a minor crack on kwenye screen kwa juu bei 350k
Location 😀SM
Mawasiliano 0659 442114/ 0746 142301
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…