Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
hizo water resistant zina ratings zake, bila kuiona hio video siwezi jua, na cocacola sidhani kama ni kipimo cha kujua simu inahimili maji ama la.Chief nimeona hii redmi 4x YouTube inafanyiwa test ya water resistant kwa kutumia coca cola ilikuwa inashindanishwa na galaxy s8 zote zikawa fresh baada ya test ila hii 4x ilionekana bora kulinganisha na price yake
mfano kuna
ip68 - hii inamaanisha simu inahimili maji mpaka kina cha mita 1 na nusu kwa muda wa nusu saa
ip67- hii ni kina cha mita 1 kwa nusu saa
ip66- inaprotect na water splash
hivyo unaona kuna utofauti, s8 yenyewe ina ip68 inamaana unaweza ukaingia nayo kwenye swiming pool na kuoga nayo na kupiga picha. ili uipime kama s8 inafanya kazi yake cocacola si kipimo utatakiwa uizamishe kwenye bwawa au kina hicho cha mita 1 ili kujua.