Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nauliza eti Xiaomi zinapatikana wapi na kwa bei gani? ASANTENI.
 
Xiaomi again... Mi 8, Mi 8 Se & Mi band 3 ni[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Hivi xiaomi (inatamkwaje jamani) maana kama nikimpigie simu kumpa mwongozo aninunulie maana kiukweli inabidi niandike tu yaani ukinielekeza kama mfano huu "Samsung" inatamkwa samsangi au iPhone inatamkwa aifoni (naomba na xiaomi (matamshi ya mfumo huo)
 
"Shami"
 
Xiaomi Redmi Note 5 Pro going cheap as 650,000/= only (New) .More information njoo Pm
 

Attachments

  • Capture.JPG
    17.1 KB · Views: 103
Xiaomi Redmi 4A.
Kitu kipo vizuri
Samahani mkuu hivi hii simu mpya inaweza kuwa bei gani? Maana niliyonayo nimenunua kwa mtu harafu ni chinesse nataka kupata mpya kisha iwe global.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…