kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,517
- 7,984
Nenda aliexpress mkuu utapata kwa bei rahis tu..na nzuruzi muri, natafuta cover na screen protector natumia Xiaomi note4 anayejua maduka yanayouza bidhaa hizi tafadhali nijuze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda aliexpress mkuu utapata kwa bei rahis tu..na nzuruzi muri, natafuta cover na screen protector natumia Xiaomi note4 anayejua maduka yanayouza bidhaa hizi tafadhali nijuze.
Nipo hapa WhatsApp on 0759110633uzi muri, natafuta cover na screen protector natumia Xiaomi note4 anayejua maduka yanayouza bidhaa hizi tafadhali nijuze.
Bei ndugu, tusaidie.. Pia more details GB, CameraXiaomi again... Mi 8, Mi 8 Se & Mi band 3 ni[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
View attachment 792784View attachment 792785View attachment 792786View attachment 792787View attachment 792788View attachment 792789
Xiaomi Mi 8 SE 6GB 64GB Snapdragon 710 Octa Core 5.88" AMOLED Hii inaanzia $400Bei ndugu, tusaidie.. Pia more details GB, Camera
Na mie ninapenda simu ndogo kama wewe wewe na ndio maana nakomaa na masimu yangu ya iPhone za Mtumbawameanza kunikera maana wanatoa masimu makubwa mimi nimezoea mwisho inch 5
"Shami"Hivi xiaomi (inatamkwaje jamani) maana kama nikimpigie simu kumpa mwongozo aninunulie maana kiukweli inabidi niandike tu yaani ukinielekeza kama mfano huu "Samsung" inatamkwa samsangi au iPhone inatamkwa aifoni (naomba na xiaomi (matamshi ya mfumo huo)
Ahsante sana mkuu maana haya majina haya inabidi kila dakika unajifanya kutaka kumwandikia mtu"Shami"
Asante umensaidia Na Mimi."Shami"
ShaomiHivi xiaomi (inatamkwaje jamani) maana kama nikimpigie simu kumpa mwongozo aninunulie maana kiukweli inabidi niandike tu yaani ukinielekeza kama mfano huu "Samsung" inatamkwa samsangi au iPhone inatamkwa aifoni (naomba na xiaomi (matamshi ya mfumo huo)
Ahsante kiongoziShaomi
Samahani mkuu hivi hii simu mpya inaweza kuwa bei gani? Maana niliyonayo nimenunua kwa mtu harafu ni chinesse nataka kupata mpya kisha iwe global.Xiaomi Redmi 4A.
Kitu kipo vizuri
Mkuu mi yangu ni chinesse na haina playstore redmi 4a, naomba maujanja mkuu!Mkuu ina play store au haina nikupe ujanja flani