Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Xiaomi Mi A2 lite mkuu!
1. Jaribu kwenda setting kisha security kisha device administrator angalia kuna nini na nini? Kikawaida kunakuwa na device manager tu, kama kuna kitu cha ziada ambacho hukijui untick

2. Kama matangazo yalianza baada ya kuweka apps zako wewe toa app za karibuni ulizoweka kabla tatizo halijaanza

3. Jaribu pia kwenda setting kisha apps kwenye list ya app zako angalia app ambazo hujaziweka. Kuna baadhi ya app zinakuwa blanks kabisa hazina jina.

4. Kuna firewall inaitwa glasswire ipo playstore pia unaweza ukaieka kwa muda itakuonesha app zinazoingia internet hasa huo wakati matangazo yanapotokea.
 
Sio model zote zipo hivyo. Pia asilimia kubwa ya hizi simu zina internal storage kubwa.
Ni kweli,... Mi a2 lite ipo hivi
-7677022651831412529.jpeg
 
mimi yangu redmi 4x ipo hivyo nisipoweka laini ya pili naweza weka memory card. pia usisajau dual app
Pia first space na second space kwa wale michepuko wasiopenda wake zao kujua wanawasiliana na nani [emoji23][emoji23][emoji23] xiaom wamewajali pia ikiwa na security tofauti za kufungia/kufungia, raha sana
 
Hivi Mi a2 lite,mi a1 na note 5 pro ipi iko poa
1.camera(effect na uhalisia)
2.battery
3.Muonekano
4.Wepesi(no lags)
5.Perfomance.
 
Chief-Mkwawa , Nataka kuagiza Xiaomi inayo-range 170k-199k. Yaani isizidi 200k. Ni simu gani naeza pata? Ushauri wa ziada unaruhusiwa pia
 
Chief-Mkwawa , Nataka kuagiza Xiaomi inayo-range 170k-199k. Yaani isizidi 200k. Ni simu gani naeza pata? Ushauri wa ziada unaruhusiwa pia
Kwa ufupi tu hiyo simu HAIPO labda kuanzia 250K hadi 300K hapo ni pamoja na gharama za usafirishaji.
 
Hivi Mi a2 lite,mi a1 na note 5 pro ipi iko poa
1.camera(effect na uhalisia)
2.battery
3.Muonekano
4.Wepesi(no lags)
5.Perfomance.

Kamata Mi A2 (Mi6X) japo betri ni mAh 3000, na note 5 pro ni mAh 4000.
Ila vingine vyote ulivyo taja hapo MiA2 ipo juu.
 
Wakuu wenye uzoefu kwa bajeti ya 350k-400k naweza pata xiomi ipi ambayo ni Mi series??

Je vip kusu specification ya hiyo simu mnayoipendekeza kuanzia battery though ningependa zaid kuanzia 4000mAh..display...CPU..camera....ROM..RAM

Shukran.
 
Redmi 5 plus au Redmi note 5
 
Back
Top Bottom