jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Sh ngapi imeenda mpaka mkononi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sh ngapi imeenda mpaka mkononi mkuu
J5 prime ni nzuri kiasi niliwai kupewa niitumie kipindi cha nyuma, ila iliniboa kwenye ukaaji wa charge na inatumia screen za PLS TFT capacitive touchscreen, badala ya Super Amoled. Ila J series walizozitoa mwaka huu nimezikubali mno, ila bei ndio tatizo, ni mara kumi nisubiri 3 weeks kuisubiria XiaomiJamani ni mara mbili niachane na samsung j5 prime niungane na xiaomi maanaa zinanivutia kwa maneno mazuri
Mkuu samahani,simu yangu matangazo yanakuwa mengi mno hadi simu inastack,yaani nikiwasha tu ni matangazo hata kama situmii browser nahisi yanatokea kwenye app ninazotumia,adblock nzuri ni ipi ili nianze kutumia?Hao watengenezaji ama wafanyabiashara?
Exchange na infinix hot 6 pro brand new boxed?Brand new Xiaomi Redmi 5 plus
32 GB internal, RAM 3GB, Qualcom Snapdragon 625 Android 8.1 Oreo kwa Tsh. 390k.....
nicheck whatsapp au piga 0656166717 kwa maelezo zaidi.NB. Simu ni mpya kabisa full box(literally new)
Niko Dodoma kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafanisha xiaom na infinix [emoji23][emoji23][emoji23]Exchange na infinix hot 6 pro brand new boxed?
Are you crazy?Unafanisha xiaom na infinix [emoji23][emoji23][emoji23]
nina 300k mkuuBrand new Xiaomi Redmi 5 plus
32 GB internal, RAM 3GB, Qualcom Snapdragon 625 Android 8.1 Oreo kwa Tsh. 390k.....
nicheck whatsapp au piga 0656166717 kwa maelezo zaidi.NB. Simu ni mpya kabisa full box(literally new)
Niko Dodoma kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii laptop sasa mbonaNatumia Xiaomi Mi5s. Ina 3GB Ram na storage 64GB.
Kwa nguvu ya simu ipo vizuri kama highend nyengine ila review za mwanzo zinaonesha display ina lag na quality ya simu overall kwenye material waliyotumia sio nzuri kama highend nyengine.
Kifupi ni simu nzuri kwa geeks na wanaojua umuhimu wa processor yenye nguvu wasiojali vitu kama kupiga simu, mambo ya selfie selfie, muonekano wa simu etc
Hii mpaka mkononi kiasi gani?View attachment 858989Unaionaje Poco F1 by Xiaomi? Ni high-end nzuri uki compare na high-end nyingine za Xiaomi? Coz nimeiona inapatika chini ya US$ 400, na specs zake ni premium.
Mkuu samahani,simu yangu matangazo yanakuwa mengi mno hadi simu inastack,yaani nikiwasha tu ni matangazo hata kama situmii browser nahisi yanatokea kwenye app ninazotumia,adblock nzuri ni ipi ili nianze kutumia?
mkuu nahisi kuna app niliruhusu matangazo ila sikumbuki ni ipi!Kama unatumia xiaomi,jaribu kwenda kwenye settings ya app husika (uliyofungua at that time),disable "receive recommendations"
Mkuu nami niko njiani kuiwania xiaomi aseeJ5 prime ni nzuri kiasi niliwai kupewa niitumie kipindi cha nyuma, ila iliniboa kwenye ukaaji wa charge na inatumia screen za PLS TFT capacitive touchscreen, badala ya Super Amoled. Ila J series walizozitoa mwaka huu nimezikubali mno, ila bei ndio tatizo, ni mara kumi nisubiri 3 weeks kuisubiria XiaomiView attachment 861342
Ni simu gani?Mkuu samahani,simu yangu matangazo yanakuwa mengi mno hadi simu inastack,yaani nikiwasha tu ni matangazo hata kama situmii browser nahisi yanatokea kwenye app ninazotumia,adblock nzuri ni ipi ili nianze kutumia?
Bei ni kama laki 7 ikiwa huko hivyo itategemea na shipping gani unatumia. Around 760,000 hivi unaweza kuwa nayo mkononi. Andaa kama laki 8.Hii mpaka mkononi kiasi gani?
Xiaomi Mi A2 lite mkuu!Ni simu gani?