Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Jamani ni mara mbili niachane na samsung j5 prime niungane na xiaomi maanaa zinanivutia kwa maneno mazuri
 
Jamani ni mara mbili niachane na samsung j5 prime niungane na xiaomi maanaa zinanivutia kwa maneno mazuri
J5 prime ni nzuri kiasi niliwai kupewa niitumie kipindi cha nyuma, ila iliniboa kwenye ukaaji wa charge na inatumia screen za PLS TFT capacitive touchscreen, badala ya Super Amoled. Ila J series walizozitoa mwaka huu nimezikubali mno, ila bei ndio tatizo, ni mara kumi nisubiri 3 weeks kuisubiria Xiaomi
-2106156638-25597318.jpeg
 
Hao watengenezaji ama wafanyabiashara?
Mkuu samahani,simu yangu matangazo yanakuwa mengi mno hadi simu inastack,yaani nikiwasha tu ni matangazo hata kama situmii browser nahisi yanatokea kwenye app ninazotumia,adblock nzuri ni ipi ili nianze kutumia?
 
Brand new Xiaomi Redmi 5 plus
32 GB internal, RAM 3GB, Qualcom Snapdragon 625 Android 8.1 Oreo kwa Tsh. 390k.....
nicheck whatsapp au piga 0656166717 kwa maelezo zaidi.NB. Simu ni mpya kabisa full box(literally new)
Niko Dodoma kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Exchange na infinix hot 6 pro brand new boxed?
 
Kwa nguvu ya simu ipo vizuri kama highend nyengine ila review za mwanzo zinaonesha display ina lag na quality ya simu overall kwenye material waliyotumia sio nzuri kama highend nyengine.

Kifupi ni simu nzuri kwa geeks na wanaojua umuhimu wa processor yenye nguvu wasiojali vitu kama kupiga simu, mambo ya selfie selfie, muonekano wa simu etc

View attachment 858989Unaionaje Poco F1 by Xiaomi? Ni high-end nzuri uki compare na high-end nyingine za Xiaomi? Coz nimeiona inapatika chini ya US$ 400, na specs zake ni premium.
Hii mpaka mkononi kiasi gani?
 
Mkuu samahani,simu yangu matangazo yanakuwa mengi mno hadi simu inastack,yaani nikiwasha tu ni matangazo hata kama situmii browser nahisi yanatokea kwenye app ninazotumia,adblock nzuri ni ipi ili nianze kutumia?

Kama unatumia xiaomi,jaribu kwenda kwenye settings ya app husika (uliyofungua at that time),disable "receive recommendations"
 
J5 prime ni nzuri kiasi niliwai kupewa niitumie kipindi cha nyuma, ila iliniboa kwenye ukaaji wa charge na inatumia screen za PLS TFT capacitive touchscreen, badala ya Super Amoled. Ila J series walizozitoa mwaka huu nimezikubali mno, ila bei ndio tatizo, ni mara kumi nisubiri 3 weeks kuisubiria XiaomiView attachment 861342
Mkuu nami niko njiani kuiwania xiaomi asee
 
Naomba kueeweshwa waliotumia hiz simu za Xiaomi.
Nasikia sehemu ya kuweka sd card ndo hiyo ya kuweka laini ya pili?
 
Back
Top Bottom