Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
1. Jaribu kwenda setting kisha security kisha device administrator angalia kuna nini na nini? Kikawaida kunakuwa na device manager tu, kama kuna kitu cha ziada ambacho hukijui untickXiaomi Mi A2 lite mkuu!
Sio model zote zipo hivyo. Pia asilimia kubwa ya hizi simu zina internal storage kubwa.Naomba kueeweshwa waliotumia hiz simu za Xiaomi.
Nasikia sehemu ya kuweka sd card ndo hiyo ya kuweka laini ya pili?
Ni kweli,... Mi a2 lite ipo hiviSio model zote zipo hivyo. Pia asilimia kubwa ya hizi simu zina internal storage kubwa.
mimi yangu redmi 4x ipo hivyo nisipoweka laini ya pili naweza weka memory card. pia usisajau dual appNaomba kueeweshwa waliotumia hiz simu za Xiaomi.
Nasikia sehemu ya kuweka sd card ndo hiyo ya kuweka laini ya pili?
Pia first space na second space kwa wale michepuko wasiopenda wake zao kujua wanawasiliana na nani [emoji23][emoji23][emoji23] xiaom wamewajali pia ikiwa na security tofauti za kufungia/kufungia, raha sanamimi yangu redmi 4x ipo hivyo nisipoweka laini ya pili naweza weka memory card. pia usisajau dual app
Asannte mkuuSio model zote zipo hivyo. Pia asilimia kubwa ya hizi simu zina internal storage kubwa.
Hii nikiagiza ntaipata kwa sh ngap?Xiaomi Redmi note 6 pro, inatoka October 10 itakuwa chini ya $200.
View attachment 869136View attachment 869137
TZS 477,000Hii nikiagiza ntaipata kwa sh ngap?
Kwa ufupi tu hiyo simu HAIPO labda kuanzia 250K hadi 300K hapo ni pamoja na gharama za usafirishaji.Chief-Mkwawa , Nataka kuagiza Xiaomi inayo-range 170k-199k. Yaani isizidi 200k. Ni simu gani naeza pata? Ushauri wa ziada unaruhusiwa pia
Hivi Mi a2 lite,mi a1 na note 5 pro ipi iko poa
1.camera(effect na uhalisia)
2.battery
3.Muonekano
4.Wepesi(no lags)
5.Perfomance.
Mi a2 lite sio mi a2Kamata Mi A2 (Mi6X) japo betri ni mAh 3000, na note 5 pro ni mAh 4000.
Ila vingine vyote ulivyo taja hapo MiA2 ipo juu.
Angalia redmi 5A.Chief-Mkwawa , Nataka kuagiza Xiaomi inayo-range 170k-199k. Yaani isizidi 200k. Ni simu gani naeza pata? Ushauri wa ziada unaruhusiwa pia
Oooh sawa hapo bora note 5 pro.Mi a2 lite sio mi a2
Redmi 5 plus au Redmi note 5Wakuu wenye uzoefu kwa bajeti ya 350k-400k naweza pata xiomi ipi ambayo ni Mi series??
Je vip kusu specification ya hiyo simu mnayoipendekeza kuanzia battery though ningependa zaid kuanzia 4000mAh..display...CPU..camera....ROM..RAM
Shukran.
MI series siwez pata yeyte mfano mi A6Redmi 5 plus au Redmi note 5