Mkuu napoandikiwa hivi ina maana mzigo unaingia kati ya jan 18-feb au inaweza ukwahi zaidi ya hapo malipo yalifanyika Dec 24 kwa uzoefu wako.Inakuja kwa njia ya registered air mail. Hakuna kodi zozote zile inapofika nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utafika Dar kabla ya Jan18.Mkuu napoandikiwa hivi ina maana mzigo unaingia kati ya jan 18-feb au inaweza ukwahi zaidi ya hapo malipo yalifanyika Dec 24 kwa uzoefu wako.
View attachment 980617
Kwa uzoefu wangu huo mzigo Unaweza kufika kabla ya Jan 18 au ukapitiliza ukafika Jan 22 au zaidi kutegemea na custom delays!!Mkuu napoandikiwa hivi ina maana mzigo unaingia kati ya jan 18-feb au inaweza ukwahi zaidi ya hapo malipo yalifanyika Dec 24 kwa uzoefu wako.
View attachment 980617
Shukrani Mkuu.Kwa uzoefu wangu huo mzigo Unaweza kufika kabla ya Jan 18 au ukapitiliza ukafika Jan 22 au zaidi kutegemea na custom delays!!
Hiyo Jan-feb ni time frame so Kama hujapata ndani ya muda huo Dispute inausika
Mimi zikipita siku 10 tangu waship mzigo naanza kuutrack na nikiona hakuna any update namtext seller na asipotoa ushirikiano nafungua dispute bila ya kupepesa jicho coz utakuta imeganda hapo kwenye "ready for dispatch" na ukiingia tracking site zingine ni bila bila happy ni kukomaa nao tu !!Shukrani Mkuu.
Ila ukitumiaga njia ya standard mzigo wako huwaga unaingia ndani ya siku ngapi?Mimi zikipita siku 10 tangu waship mzigo naanza kuutrack na nikiona hakuna any update namtext seller na asipotoa ushirikiano nafungua dispute bila ya kupepesa jicho
Mara nyingi AliExpress Standard Shipping mzigo unafika 14-18 Days.Ila ukitumiaga njia ya standard mzigo wako huwaga unaingia ndani ya siku ngapi?
Ila kusubiri kitu kweli inahitaji moyo asee hivi inakuaje wanaoagiza magari miezi mitatu.
Hahaha Eti sababu wanazojua wao basi hapo ni Singapore Post hope utaingia mapema kidogo.Mara nyingi AliExpress Standard Shipping mzigo unafika 14-18 Days.
Ilitokea Mara mbili ulifika ndani ya 12 Days.
Singapore post pia inawahi hivyo hivyo.
China Post registered Airmail 18-21.
Huo ndio uzoefu wangu ila mzigo waweza fika mapema watu wa postal wakauchelewesha hata wiki nzima kwa sababu wanazojua wao
Unaona mzigo huo upo umeingia Dar tarehe 17/12 hadi 27/12 process zote zimekamilika na inaonyesha tayari nimepewa taarifa nikachukue wakati haiko hivyo !!Hahaha Eti sababu wanazojua wao basi hapo ni Singapore Post hope utaingia mapema kidogo.
Doh kweli wasumbufu.Unaona mzigo huo upo umeingia Dar tarehe 17/12 hadi 27/12 process zote zimekamilika na inaonyesha tayari nimepewa taarifa nikachukue wakati haiko hivyo !!
Jana nimewaibukia wanadai network sijui imefanya Nini ila ukweli ni kwamba hawajafungua mzigo bado kutokana na kufanya kazi kwa mazoea.
Siku 10 wameushikilia wakifanya custom clearance na upuuzi mwingine but mwisho wa siku bado mtasumbuana tu coz postal nyingi wapo wamama wasiojitambua!!
Wale wanaotumia postal zenyewe wafanyakazi vijana ndio kidogo wanaunafuu
View attachment 980997View attachment 980998
Ndo hivyo tunavumiliana nao kukwepa gharama za kina DHL, FEDEX na wengineoDoh kweli wasumbufu.
Juzi nilienda kufuata items posta, nikawauliza kwnn wanachelesha kutoa mizigo? Wakasema kwamba sahivi kuna uhaba wa wafanyakazi posta ndio maana kunatokea kero kama hizo, pia mizigo inayotoka nje ya nchi imekuwa ni mingi mno hasa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka, kwahiyo mfanyakazi anakuwa na mrundikano mkubwa wa kazi.Doh kweli wasumbufu.
Kwa DHL tungekuwa hatulipi kodi ingekuwa tunawatumia, mfano kutuma simu from HK to TZ kwa mtandao wa Gearbest ni $22 tu! Ila mzigo ukifika nchini lazima ukutane na TRA. Ila unaweza lipia gharama zote hizo ila bei ya bidhaa katika local store ikawa bado ni maradufu. Ila Standard Shipping ina save mno, ila uwe na uvumilivu, pia ni kama kuji sacrifice pesa yako.Ndo hivyo tunavumiliana nao kukwepa gharama za kina DHL, FEDEX na wengineo
Ingekuwa hivyo postal ingekuwa imeshajifiaKwa DHL tungekuwa hatulipi kodi ingekuwa tunawatumia, mfano kutuma simu from HK to TZ kwa mtandao wa Gearbest ni $22 tu! Ila mzigo ukifika nchini lazima ukutane na TRA. Ila unaweza lipia gharama zote hizo ila bei ya bidhaa katika local store ikawa bado ni maradufu. Ila Standard Shipping ina save mno, ila uwe na uvumilivu, pia ni kama kuji sacrifice pesa yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Postal ninayotumia Mama wa pale alipokuwa likizo walimuweka mshkaji mmoja alikuwa faster Sana yaani hakopeshi, mzigo ukiingia pale anakutwanga sms Leo Leo ukachukue Kama kuchelewa labda GPO wacheleweshe kufikisha ofisini kwake!!Juzi nilienda kufuata items posta, nikawauliza kwnn wanachelesha kutoa mizigo? Wakasema kwamba sahivi kuna uhaba wa wafanyakazi posta ndio maana kunatokea kero kama hizo, pia mizigo inayotoka nje ya nchi imekuwa ni mingi mno hasa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka, kwahiyo mfanyakazi anakuwa na mrundikano mkubwa wa kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio inaongeza gharama ya simu inabidi uchague standard bundle, ndio inakuwa simu pekee.Chief-Mkwawa Msauzy na wajuzi wengine naomba mnieleweshe hizo sijui glass na makolokolo mengine yana maana gani? Yanaongeza gharama ya simu? View attachment 981260
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukichagua standard bundle, ndani ya Box ni nini unakuta?Ndio inaongeza gharama ya simu inabidi uchague standard bundle, ndio inakuwa simu pekee.
Sent using Jamii Forums mobile app
utakuta Simu, USB cable, Charger, User Manual & case au earphone kwa baadhi ya simu, ila Xiaomi earphone haukuti ndani ya box.
Global Version Lenovo K5 Pro 4050mAh 4GB 64GB Four Cameras 5.99inch Mobile Phone 18:9 Snapdragon636 Octa Core 4G LTE Smartphoneutakuta Simu, USB cable, Charger, User Manual & case au earphone kwa baadhi ya simu, ila Xiaomi earphone haukuti ndani ya box.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tatizo lako lilinikumba hata mimi na nokia 105 mara ya kwanza navyonunua niliweka security code bahada ya muda nikaweka off zile code,lakin nikitoa laini ambazo zilikuwepo mule nikiweka laini nyingine inanidai code nimeingiza zile code za kila aina inagoma,kuna jamaha mtaalam wa simu nikampa sa sijui aliiflash au aliunlock saizi naweka laini yeyoteImegoma mkuu