Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wakuu recomandation link kwa Glass Protector kwa simu ya Note 6 Pro nimecheki aliexpress naona bei za nillkin glass iko juu sana hadi inafika hapa 25,000 sasa bajeti yangu ni 18,000 na nikiangalia nyingine nyingi naona review za wateja ni mbovu.Ahsanteh
 
Nimetembelea Gearbest nimeona wanaship kupitua DHL kwa fee ndogo tu kwa mfano simu wanachaji $21 tu. nmeona ni rahisi kuliko kurisk mizigo mkubwa kwa register za kawaida...Ila nilikua naomba msaada kwa aliewahi kutumia DHL inakuaje swala zima la kodi pindi mzigo unapofika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andaa laki na ushee ya kodi, Kwani ukitumia DHL kodi haikwepeki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetembelea Gearbest nimeona wanaship kupitua DHL kwa fee ndogo tu kwa mfano simu wanachaji $21 tu. nmeona ni rahisi kuliko kurisk mizigo mkubwa kwa register za kawaida...Ila nilikua naomba msaada kwa aliewahi kutumia DHL inakuaje swala zima la kodi pindi mzigo unapofika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzigo uchukua siku 5 kufika nchini, ila wazee wa customs wana hold hadi ulipie hizo custom duties,... Ni bora posta tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kampuni ya Xiaomi wametoa sub-brand itakayokuwa ikijulikana kama "REDMI", na toleo la kwanza kabisa la brand hiyo ni Redmi Note 7. Kwa sasa kampuni mama XIAOMI itakuwa na sub-brand mbili ambazo ni Redmi na Pocophone. Kwa sasa Redmi sio model tena ni brand inayojitemea.
IMG-20190110-WA0012.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah kweli inacost na vipi kuhusu EMS mkuu wana mambo haya pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora hao EMS, Kwani wao mzigo ukifika hauzuiliwi na mamlaka ya mapato pale airport kama ilivyo kwa DHL. Wao mzigo ukifika utaletwa moja kwa moja kwa wakala wao, endapo mzigo utakuwa eligible kulipia kodi utatakiwa wewe mwenyewe ukafanye process nzima kwa mamlaka ya mapato. Mara nyingi ukitumia EMS gharama za kodi huwa chini, mara nyng unalipia VAT only.

vizuri Bro basi ntatumia EMS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom