Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mm natumia sn posta, hata kwa items za $200+ but mizigo inafika salama, ni mara chache kupata incident za kupolewa mzigo. Kumbuka EMS kwa Tanzania ipo chini ya shirika la posta Tanzania (TPC).

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm pia nilkua napokea mizigo salama ila nmeshuhudia watu wakiibiwa kwahyo nakua makini Bro...EMS ndio ipo chini ya posta lakn kule usalama na uhakika wakupata mzigo ni mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina uhakika, mizigo mingi inayopotea kwa njia ya posta, haipotelei kwenye mikono yao, bali ni pale airport, mzigo wenye tracking number kupotea si raisi bali utokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
mtu yeyote anaweza kuingiwa na tamaa akafungua mzigo wa mtu inaweza ikawa airport au ata posta wote wanaweza kukuibia tu..posta wanadai tunaibiwa airport kwakua wanajua hatuwezi kwenda kuuliza wala kufanya chochote kwahyo wanabaki kutuaminisha hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Xiaomi wametoa Redmi Note 7 ambayo ina 48MP ikiwa na processor ya snapdragon 660,lakini naona watu wengi wanatia Shaka na hiyo camera wanasema kwamba Snapdragon 660 uwezo wake wa camera max ni 25mp.
Hapa inakuaje,au Xiaomi wanatumia hiyo 48mp kama mbinu ya kuwapa edge sokoni dhidi ya wapinzani wao.
Chief-Mkwawa tunaomba maelezo hii ikoje

Hio ni sensor mpya ya sony simu kibao zimeshatoka na hiyo camera, kutokana na simu zote kutokuwa highend usiweke mategemeo sana kuwa ni camera nzuri.

Pia kuna tetesi ni sd 675 na sio 660
 
Hio ni sensor mpya ya sony simu kibao zimeshatoka na hiyo camera, kutokana na simu zote kutokuwa highend usiweke mategemeo sana kuwa ni camera nzuri.

Pia kuna tetesi ni sd 675 na sio 660
Ni Sd 660.

Ni kweli maana nimeona hata sample zake za picha hazitofautiani sana na za Redmi note 6 Pro.

Ila Kuna sehemu nimesoma wanasema Xiaomi wametumia 'Pixel Binning' sijui ndo kitu Gani hiko

Ni kama pureview technology ya Nokia, wanai license siku hizi, camera inakuwa na mp48 ila inatoa picha za megapixel 5 ama 8 etc, kinachofanyika zinapigwa picha 6 ama 8 tofauti na kisha zinaunganishwa kuwa picha moja yenye quality zaidi.
 
Hio ni sensor mpya ya sony simu kibao zimeshatoka na hiyo camera, kutokana na simu zote kutokuwa highend usiweke mategemeo sana kuwa ni camera nzuri.

Pia kuna tetesi ni sd 675 na sio 660

The Redmi Note 7 was officially introduced in China.
.
Spec
- 6.3inch screen, 2340x1080p
- Snapdragon 660 AIE CPU
- 3GB RAM, 32GB Storage
- 4GB RAM, 64GB Storage
- 6GB RAM, 64GB Storage
- MicroSD up to 256GB
- 48MP rear camera (Sony IMX586), f / 1.8 + 5MP, EIS
- 13MP front camera
- Android 9.0 Pie, MIUI 10
- USB C, 3.5mm Jack
- Fingerprint
- 4000mAh battery, Quick charge 4.0
 
Well said,mm nilitafuta maduka yte tcl tv yenye roku os nikakosa kabisa,nikapiga hesabu ya kuagiza amazon ila shipping cost ikanishinda.
Wapuuzi sana hao jamaa, kuna siku niliwachana kwenye uzi mmoja wakani vice vibaya mno. Ila ukweli nilishawapa. Tv za TCL ni kali kinoma yani ukipata Series 6 bei kitonga sana US ila bongo wanaleta za Go Live tv tu. Mara kumi ingekuwa hata android tv basi ikupe mwanya wa ku install vitu vingi. Bure kabisa.
 
Hii pia inachangia sana, wafanyabiashara wengi wanaangalia simu au bidhaa zinazo toka sana. Na ukiangalia bongo wengi hatuna uelewa wa simu, mtu anaenda dukani anahitaji simu yenye whasApp au Facebook kazi inabaki kwa muuzaji kumchagulia.
Umesahau na camera nzuri maana hapo ndipo Tecno na ma swahaba wenzake wanapowanyongea wabongo.
 
Back
Top Bottom