Unaona mzigo huo upo umeingia Dar tarehe 17/12 hadi 27/12 process zote zimekamilika na inaonyesha tayari nimepewa taarifa nikachukue wakati haiko hivyo !!
Jana nimewaibukia wanadai network sijui imefanya Nini ila ukweli ni kwamba hawajafungua mzigo bado kutokana na kufanya kazi kwa mazoea.
Siku 10 wameushikilia wakifanya custom clearance na upuuzi mwingine but mwisho wa siku bado mtasumbuana tu coz postal nyingi wapo wamama wasiojitambua!!
Wale wanaotumia postal zenyewe wafanyakazi vijana ndio kidogo wanaunafuu
View attachment 980997View attachment 980998