Andaa laki na ushee ya kodi, Kwani ukitumia DHL kodi haikwepeki.Nimetembelea Gearbest nimeona wanaship kupitua DHL kwa fee ndogo tu kwa mfano simu wanachaji $21 tu. nmeona ni rahisi kuliko kurisk mizigo mkubwa kwa register za kawaida...Ila nilikua naomba msaada kwa aliewahi kutumia DHL inakuaje swala zima la kodi pindi mzigo unapofika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzigo uchukua siku 5 kufika nchini, ila wazee wa customs wana hold hadi ulipie hizo custom duties,... Ni bora posta tu!Nimetembelea Gearbest nimeona wanaship kupitua DHL kwa fee ndogo tu kwa mfano simu wanachaji $21 tu. nmeona ni rahisi kuliko kurisk mizigo mkubwa kwa register za kawaida...Ila nilikua naomba msaada kwa aliewahi kutumia DHL inakuaje swala zima la kodi pindi mzigo unapofika?
Sent using Jamii Forums mobile app
custom duties zinakuaje hizo na makato yake ni kiasi gani naomba ufafanuzi kidogo...Mzigo uchukua siku 5 kufika nchini, ila wazee wa customs wana hold hadi ulipie hizo custom duties,... Ni bora posta tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
custom duties zinakuaje hizo na makato yake ni kiasi gani naomba ufafanuzi kidogo...
Sent using Jamii Forums mobile app
wametisha tusubiri kupata vitu vikali zaidiKampuni ya Xiaomi wametoa sub-brand itakayokuwa ikijulikana kama "REDMI", na toleo la kwanza kabisa la brand hiyo ni Redmi Note 7. Kwa sasa kampuni mama XIAOMI itakuwa na sub-brand mbili ambazo ni Redmi na Pocophone. Kwa sasa Redmi sio model tena ni brand inayojitemea.
View attachment 991479
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni gharama zote zinazotakiwa kulipwa kwa mamlaka ya mapato na zinakokotolewa kulingana na thamani ya item husika.custom duties zinakuaje hizo na makato yake ni kiasi gani naomba ufafanuzi kidogo...
Sent using Jamii Forums mobile app
nimekuelewa mkuu asante kwa ufafanuziNi gharama zote zinazotakiwa kulipwa kwa mamlaka ya mapato na zinakokotolewa kulingana na thamani ya item husika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora hao EMS, Kwani wao mzigo ukifika hauzuiliwi na mamlaka ya mapato pale airport kama ilivyo kwa DHL. Wao mzigo ukifika utaletwa moja kwa moja kwa wakala wao, endapo mzigo utakuwa eligible kulipia kodi utatakiwa wewe mwenyewe ukafanye process nzima kwa mamlaka ya mapato. Mara nyingi ukitumia EMS gharama za kodi huwa chini, mara nyng unalipia VAT only.
vizuri Bro basi ntatumia EMSBora hao EMS, Kwani wao mzigo ukifika hauzuiliwi na mamlaka ya mapato pale airport kama ilivyo kwa DHL. Wao mzigo ukifika utaletwa moja kwa moja kwa wakala wao, endapo mzigo utakuwa eligible kulipia kodi utatakiwa wewe mwenyewe ukafanye process nzima kwa mamlaka ya mapato. Mara nyingi ukitumia EMS gharama za kodi huwa chini, mara nyng unalipia VAT only.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona asilimia kubwa ya mizigo inafika salama wasalmin, kwa njia ya posta.
sitaki kutake risk mzee kwa mizigo mikubwa bora nilipe hela tu kidogo niwe na uhakika na mzigo wangu posta nitarumia kwa mizigo midogo midogo tu
inategemea na aina ya mzigo Bro posta wizi mwingiMbona asilimia kubwa ya mizigo inafika salama wasalmin, kwa njia ya posta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm natumia sn posta, hata kwa items za $200+ but mizigo inafika salama, ni mara chache kupata incident za kupolewa mzigo. Kumbuka EMS kwa Tanzania ipo chini ya shirika la posta Tanzania (TPC).