Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hii haijaanza kuuzwa rasmi kwa global version, iliyopo ni Chinese version. Global version itaanza kuuzwa baada ya Chinise New Year.

Sent using Jamii Forums mobile app
Poapoa chief, nmeielewa sana hii kitu,
Kwa kukadiria niandae bei gani yny ram 4gb na internal 64gb,maana now nna Rmi5+ ,najua hio mpya itakua bora zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poapoa chief, nmeielewa sana hii kitu,
Kwa kukadiria niandae bei gani yny ram 4gb na internal 64gb,maana now nna Rmi5+ ,najua hio mpya itakua bora zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app

Bei itakuwa ni kati $150 hadi $210 inategemeana na RAM na storage. Pia itakuwa bora zaidi na muonekano kiujumla, chipset yenye nguvu zaidi, pia nilichokipenda itakuwa na Type-C 1.0 reversible connector kwa maana hiyo ina support Quick Charge 4, kingine kizuri itakuwa na protector Corning Gorilla Glass 5, so itabamba sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii itanifanya niuze note 5pro yangu
 
Hii mashine ikoje Mkuu hasa kwenye speed na Camera!?

Maana na ya yangu ipo njiani sijui itachukua muda Gani kufika Bongoland

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ndo kwanza nina siku moja tangu iwe mikononi ila naaminini maahine kali sana kwa bei husika mkuu camera ya usiku nimeona kali,lags bado sijazigumia mkuu kiufupi iko poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…